Ninaombeni elimu kuhusu hili.

mountain

JF-Expert Member
Jul 24, 2012
757
311
habarin wandugu,,,

nina mpenzi wangu na kwa sasa ni mjamzito wa mwez na zaid,,nilikuwa naomba kufaham ni mambo gani ambyo c mazur yanaweza tokea kipind cha ujauzito wake ili yatakapotokea niweze kujicontrol na kuepuka ugomvi ili tuendelee kuishi kwa aman. asanten.
 
Mambo ambayo si mazuri ni ongezeko la budget sasa sijui utawezaje kuji control.
 
habarin wandugu,,,

nina mpenzi wangu na kwa sasa ni mjamzito wa mwez na zaid,,nilikuwa naomba kufaham ni mambo gani ambyo c mazur yanaweza tokea kipind cha ujauzito wake ili yatakapotokea niweze kujicontrol na kuepuka ugomvi ili tuendelee kuishi kwa aman. asanten.

Uache kugegeda kama upo kwenye mechi ya ushindani, unaweza kumletea matatizo!! Pia jitahidi kumfanya awe ni mtu mwenye furaha muda wote hata kama inatokea anakuudhi, furaha yake kwa sasa ndiyo furaha ya mwanao mtarajiwa!!

Ukiona kitu chochote tofauti wahi hospitali haraka, mfano kutoka damu sehemu za siri, kuumwa tumbo na mengineyo! Ni vyema ukawa na namba ya daktari mzuri wa maswala ya uzazi ili wakati mwingine unampigia kupata ushauri ingawa wabongo hatuna kawaida ya kuwa na madaktari binafsi lakini cha ajabu wafugaji wa kuku huwa wanakuwa na wataalamu wao wa kuku na wanawalipa vizuri tu hahahaaa!!

Hongera kwa kuwa baba mtarajiwa
 
asante mkuu,,,yy pia ni nurse nadhan hiyo itasaidia kidogo kuhusu matatizo ya ujauzito endapo yatajitokeza
 
Back
Top Bottom