Nikikutana na mzazi wa mke wangu wangu nanyong'onyea

Point of correction Kifimboplayer! after nine months ndo anakwambia aikua na mtoto....then u call her a wife material.
 
Nakuja mbele yenu mnipe ushauri juu ya huyu mwanaume(mtwasi)mwenzangu ambaye amezaa na mke wangu mtoto wa kwanza, ishu ni kwamba nilikutana na binti mmoja kama miaka 3 iliyopita katika mangizira ambayo anafanyia kazi kwa sababu ndo kwanza nilikuwa natoka chuo na sehemu niliyopangiwa ilibidi nipate msaidizi wa taratibu za kazi kwa muda kwani kitengo changu kilikuwa nyeti mno ndipo nilipokutana kutokana na jinsi ambavyo alikuwa makin na kazi nilijikuta nampenda na kuanzisha mahusiano naye ya kimapenzi.

Takriban baada ya miezi kama tisa hivi ya mahusiano yetu aliniambia kwamba ye ni mzazi wa mtoto mmoja na yuko huko kwao kimamba kilosa kwa bibi yake na ana umri wa miaka 5 ila aliyezaa nae yuko hapa hapa (malampaka kwimba) kwa jinsi alivyokuwa mkweli na muwazi nikaona hii ndio wife materiol nisipoteze muda kwa kutangaza ndoa na tulifanikiwa.

sasa baada kuona mda unakwenda na hakuna dalili zote za my wife kushika ujauzito nikaona si vibaya nimsaidie mama mkwe kumlea yule mtoto wa kufikia isitoshe kampuni ilinipa nyumba na gari kwa maisha hayakusumbua sana~

TATIZO ni kwamba toka aje yule mtoto huyo mzazi wa mke wangu amekua kero mosi ni kuwa huwa anampigia simu hata usiku wa manane kujua hali ya mwanae na wakati mwingine huja nyumbani kumpangia ratiba mwanae atakapoamka asubuhi hadi atakapolala ilifika wakati hadi alikuja kumchukua lakini kutokana na ugumu wa maisha mtoto alirudi mwenyewe!

Mbaya zaidi siku ya sikukuu ya mwaka mpya tulitoka kifamilia pamoja na wafanyakazi wenzangu kwenda maeneo ya burudani bahati mbaya tukakutana nae ilikuwa patashika mbali na matusi aliyonitukana aliniambia nisirudie tena kumpereka mwanae maeneo ya starehe na kuondoka nae nilifedheheka ktk majadiliano na wenzangu kulikuwa na option mbili la tuhamie sehemu nyingn au niachane na huyo mwanamke na nikiama sitakuwa tena bos.

Mrudishe mtoto kwa bibi yake Kimamba. Hakikisha anapata huduma zote za msingi huko huko aliko. Full stop!
 
Wakati anampangia hiyo ratiba anakuwa amekaa sebuleni kwako kabisa, na miguu kaweka juu ya meza? Anaingiaje nyumbani kwako na kupanga ratiba za nyumbani kwako? Huyo bwana ni mkorofi, na mkeo anamuogopa. Wewe ndiye mwanaume lazima uonyeshe kwamba una uwezo wa kumlinda mkeo na mtoto wake/wenu! Hebu fanya kama mwanaume bhana! Mkwara tu unamtosha. Mtafutie hata kesi ya kukufanyia fujo nyumbani kwako, toa pesa polisi wamkate Ijumaa, akae rumande mpaka Jumatatu. Akitoka huko ni heshima na adabu! Huo ni mfano tu, ila kuna njia nyingi za kumuadabisha
 
Mwambie amchukue mtoto wake huyo baba ameshindwa hata kumlea halafu kelele nyingi kama za mbwa
Na huyo mwanamke piga marufuku mawasiliano na huyo baba wa mtoto isipokua kama mtoto akiwa mgonjwaa
Yaan anakuja mpaka kwako inaonyesha kuna kinachoendelea kati yao hao wawili
 
Wakati anampangia hiyo ratiba anakuwa amekaa sebuleni kwako kabisa, na miguu kaweka juu ya meza? Anaingiaje nyumbani kwako na kupanga ratiba za nyumbani kwako? Huyo bwana ni mkorofi, na mkeo anamuogopa. Wewe ndiye mwanaume lazima uonyeshe kwamba una uwezo wa kumlinda mkeo na mtoto wake/wenu! Hebu fanya kama mwanaume bhana! Mkwara tu unamtosha. Mtafutie hata kesi ya kukufanyia fujo nyumbani kwako, toa pesa polisi wamkate Ijumaa, akae rumande mpaka Jumatatu. Akitoka huko ni heshima na adabu! Huo ni mfano tu, ila kuna njia nyingi za kumuadabisha
Asante mkubwa nimekusoma
 
  • Samahani mkuu, mimi kwa mawazo yangu naona kama huyo mwanaume nia yake nikumuharibia tu huyo mwanamke maisha, unajua wanaume wengi hupenda kuona mwanamke aliyemzalisha ana pata shida sasa anapoona binti ametulia na mume na maisha yanaendelea basi huanza kuleta hila.
mambo yakuzingatia
  1. angalia kama kuna uhusiano wowote mbaya baina ya mkeo na huyo njemba,
  2. mkataze mkeo kuendelea kuwasiliana na huyo njemba, asipokee kabisa simu za njemba
  3. huyo mtoto mrudishe kwa bibi yake ili kama fujo akafanye huko aone kama wazazi wa bint walifurahi binti yao kuzalishwa
  4. mpige marufuku kufika hapo kwako ikibidi mwambie umemfungulia faili polisi, kwahiyo chochote atakacho kiuka utampeleka polisi

Asante kwa ushauri
 
Nakuja mbele yenu mnipe ushauri juu ya huyu mwanaume(mtwasi)mwenzangu ambaye amezaa na mke wangu mtoto wa kwanza, ishu ni kwamba nilikutana na binti mmoja kama miaka 3 iliyopita katika mangizira ambayo anafanyia kazi kwa sababu ndo kwanza nilikuwa natoka chuo na sehemu niliyopangiwa ilibidi nipate msaidizi wa taratibu za kazi kwa muda kwani kitengo changu kilikuwa nyeti mno ndipo nilipokutana kutokana na jinsi ambavyo alikuwa makin na kazi nilijikuta nampenda na kuanzisha mahusiano naye ya kimapenzi.

Takriban baada ya miezi kama tisa hivi ya mahusiano yetu aliniambia kwamba ye ni mzazi wa mtoto mmoja na yuko huko kwao kimamba kilosa kwa bibi yake na ana umri wa miaka 5 ila aliyezaa nae yuko hapa hapa (malampaka kwimba) kwa jinsi alivyokuwa mkweli na muwazi nikaona hii ndio wife materiol nisipoteze muda kwa kutangaza ndoa na tulifanikiwa.

sasa baada kuona mda unakwenda na hakuna dalili zote za my wife kushika ujauzito nikaona si vibaya nimsaidie mama mkwe kumlea yule mtoto wa kufikia isitoshe kampuni ilinipa nyumba na gari kwa maisha hayakusumbua sana~

TATIZO ni kwamba toka aje yule mtoto huyo mzazi wa mke wangu amekua kero mosi ni kuwa huwa anampigia simu hata usiku wa manane kujua hali ya mwanae na wakati mwingine huja nyumbani kumpangia ratiba mwanae atakapoamka asubuhi hadi atakapolala ilifika wakati hadi alikuja kumchukua lakini kutokana na ugumu wa maisha mtoto alirudi mwenyewe!

Mbaya zaidi siku ya sikukuu ya mwaka mpya tulitoka kifamilia pamoja na wafanyakazi wenzangu kwenda maeneo ya burudani bahati mbaya tukakutana nae ilikuwa patashika mbali na matusi aliyonitukana aliniambia nisirudie tena kumpereka mwanae maeneo ya starehe na kuondoka nae nilifedheheka ktk majadiliano na wenzangu kulikuwa na option mbili la tuhamie sehemu nyingn au niachane na huyo mwanamke na nikiama sitakuwa tena bos.

Akili zako changanya na za kuambiwa kisha fanya yakoo
 
Ngoja wake waseme,ila wat I knw is,Mwanaume ni authority,power,u have to show ur powers kwa huyo mkeo otherwise utanyanyasika at the end utaletewa mtoto mwengine,we endelea kuwa poyoyo,mpige biti huyo jamaa mwanamke huyo ni Mali yako ss hv

umeona eeh,, nilipoyoyo kweli... aamue moja kutoa amri hw does he want hyo r.shipp na mtt iwe..mwishowe atagongewa mke aje apa na thread "mzazi mwenza wa mke wangu anatembea na mke wang,nifanyaje?"
 
akija tena kwako mpige alafu mchukue huyo mtoto mpelekee kwa bibi yake na usijiusishe nae huyo sio mtoto wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom