brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,270
Kubalianeni kutotumia wassap, period!
Eee...haitasaidia....telegram ipo....viber...instagram...ataacha vyote?
Kubalianeni kutotumia wassap, period!
Picha na meseji za mapenzi haimaanishi wanazini ingawa kinyume chake yawezekana pia. Usihofu meseji unazozikuta ila ogopa mwanaume ambaye cm yake haina meseji!!! Meseji na picha za wapenzi huwa haziachwi kwenye cm! La mwisho ukiwa mchunguzi wa meseji za mume wako utakuwa misled na ndoa itavunjika.Ladies and Gents habari za siku nyingi ..
Nimekuwa na mme wangu kwa miaka minne sasa na tumebahatika kupata mtoto ana 2 years old girl
Jmos moja mme wangu alinipa simu yake kuongea na mama mkwe baada ya kumaliza kuongea nikawa najifunza kutumia smart phone ya husb tukiwa kwenye sherehe nilishawishika kuingia kwenye picha na whatsApp pia....
Huko nikaanza kuingia kila sehemu....
Mme wangu alikuwa anachat na wakina dada tofauti tofauti mambo ya mapenzi na kuombana kutumiana picha ...na mengineyo sipendi kusema
Pia nilikuta kwenye Picture profile mme wangu ana picha zaidi ya sita za kina dada .....
Wenu Egyps
*********
Ladies and Gents habari za siku nyingi ..
Nilikuwa busy na kitabu pia family ndio maana nimekuwa Kimya Kidogo
Leo nina tatizo naomba ushauri na msaada kimawazo..
Nimekuwa na mme wangu kwa miaka minne sasa na tumebahatika kupata mtoto ana 2 years old girl
Jmos moja mme wangu alinipa simu yake kuongea na mama mkwe baada ya kumaliza kuongea nikawa najifunza kutumia smart phone ya husb tukiwa kwenye sherehe nilishawishika kuingia kwenye picha na whatsApp pia
Huko nikaanza kuingia kila sehemu..Ile nafika WhatsApp walahi niliumia oho sana
Mme wangu alikuwa anachat na wakina dada tofauti tofauti mambo ya mapenzi na kuombana kutumiana picha ...na mengineyo sipendi kusema
Pia nilikuta kwenye Picture profile mme wangu ana picha zaidi ya sita za kina dada waliomtumia kwenye WhatsApp
Nilimuuliza mme wangu hakunipa maneno ya kueleweka ,na mimeshajua mwenzangu ananicheat wakati mie nimejituliza nyumbani nalea mwanangu wa miaka miwili.
Lakini Bado nimesikia sasa ni kilio cha wanandoa wengi na mahusiano yanavunjika kwa sababu ya hizi wasapu..
Wapenzi niambieni nifanyeje roho inaniuma sana!naichukia ndoa kama ndo kuna usaliti wa hivi
Wenu Egyps
*********
I once was an active member of BBM, WhatsApp and FB. Hii mitandao inatengeneza mazingira flani ambayo si mazuri kutoka kizazi hiki cha sasa hasa mabinti (sorry if I have offended you), wanajilengesha sana mpaka basi!! I have decided to be an inactive member for a while replacing them with JF. In short nitarudi kwenye mitandao hiyo pindi nitakapokuwa na business project(s) ili kuitumia kuadvertise, otherwise.......!!
Ah wajameni hebu tuweni serious bwana... mdau hapo juu unasemaje? Kuwa maofisini mke wa mtu kushikwa makalio ni kitu cha kawaida? Kweli???
Ladies and Gents habari za siku nyingi ..
Nilikuwa busy na kitabu pia family ndio maana nimekuwa Kimya Kidogo
Leo nina tatizo naomba ushauri na msaada kimawazo..
Nimekuwa na mme wangu kwa miaka minne sasa na tumebahatika kupata mtoto ana 2 years old girl
Jmos moja mme wangu alinipa simu yake kuongea na mama mkwe baada ya kumaliza kuongea nikawa najifunza kutumia smart phone ya husb tukiwa kwenye sherehe nilishawishika kuingia kwenye picha na whatsApp pia
Huko nikaanza kuingia kila sehemu..Ile nafika WhatsApp walahi niliumia oho sana
Mme wangu alikuwa anachat na wakina dada tofauti tofauti mambo ya mapenzi na kuombana kutumiana picha ...na mengineyo sipendi kusema
Pia nilikuta kwenye Picture profile mme wangu ana picha zaidi ya sita za kina dada waliomtumia kwenye WhatsApp
Nilimuuliza mme wangu hakunipa maneno ya kueleweka ,na mimeshajua mwenzangu ananicheat wakati mie nimejituliza nyumbani nalea mwanangu wa miaka miwili.
Lakini Bado nimesikia sasa ni kilio cha wanandoa wengi na mahusiano yanavunjika kwa sababu ya hizi wasapu..
Wapenzi niambieni nifanyeje roho inaniuma sana!naichukia ndoa kama ndo kuna usaliti wa hivi
Wenu Egyps
*********
Ah wajameni hebu tuweni serious bwana... mdau hapo juu unasemaje? Kuwa maofisini mke wa mtu kushikwa makalio ni kitu cha kawaida? Kweli???
Sawa Commanche inawezekana yapo (na nimeshayasikia sana) but nani anayahalalisha iwe kawaida kwa mke wa mtu kushikwa makalio? Kuna mipaka ya matani wajameni au ndo mambo ya kuchapiwa ni siri ya ndani?Mdau kwani hulijui hili? Hujawahi kuliona katika maofisi? Matani kati ya waume/wake za watu yapo sana. Mwingine akija kapendeza usipompa compliments anakununia. Ni shurti kushika ---- na mbwembwe zingine.
Ndugu, mtu asikuambie kitu ukiruhusu utani kweny ishu kama hizi utavuna mabua.. jamaa yako kiuhalisia ni kua nakamata vitu hivyo anajipigia..! sasa akili ni ya kwako hapo! umeshajua nini ufanye.. Mtu mwenye ndoa lazima uwe na mipaka kwenye mambo ya kuchati na ujiheshimuMamito za siku nyingi ni heri sana nashukuru mungu na pia asante kwa ushauri mpendwa wangu vip za kwako Dear
Kilichonishitua kwenye wasapu hii ni pale mdada alipokuwa anamuuliza utakuja lini pande hii na yeye kumjibu sasa niko kwa Family ila tutaonana tu hapo kweli si kuwa muzee anachit?
kwa hiyo unashauri asiwe na wivu? akae tu kama hana moyo vile ee
Mama zenu zamani walikuwa hawawachunguzi sana baba zenu kama mfanyavyo wanawake wa kileo, ndo maana ndoa zao zimedumu miaka mingi wamevumilia mengi akina baba na kina mama. Mjifunze hilo.
Ladies and Gents habari za siku nyingi ..
Nilikuwa busy na kitabu pia family ndio maana nimekuwa Kimya Kidogo
Leo nina tatizo naomba ushauri na msaada kimawazo..
Nimekuwa na mme wangu kwa miaka minne sasa na tumebahatika kupata mtoto ana 2 years old girl
Jmos moja mme wangu alinipa simu yake kuongea na mama mkwe baada ya kumaliza kuongea nikawa najifunza kutumia smart phone ya husb tukiwa kwenye sherehe nilishawishika kuingia kwenye picha na whatsApp pia
Huko nikaanza kuingia kila sehemu..Ile nafika WhatsApp walahi niliumia oho sana
Mme wangu alikuwa anachat na wakina dada tofauti tofauti mambo ya mapenzi na kuombana kutumiana picha ...na mengineyo sipendi kusema
Pia nilikuta kwenye Picture profile mme wangu ana picha zaidi ya sita za kina dada waliomtumia kwenye WhatsApp
Nilimuuliza mme wangu hakunipa maneno ya kueleweka ,na mimeshajua mwenzangu ananicheat wakati mie nimejituliza nyumbani nalea mwanangu wa miaka miwili.
Lakini Bado nimesikia sasa ni kilio cha wanandoa wengi na mahusiano yanavunjika kwa sababu ya hizi wasapu..
Wapenzi niambieni nifanyeje roho inaniuma sana!naichukia ndoa kama ndo kuna usaliti wa hivi
Wenu Egyps
*********
Sawa Commanche inawezekana yapo (na nimeshayasikia sana) but nani anayahalalisha iwe kawaida kwa mke wa mtu kushikwa makalio? Kuna mipaka ya matani wajameni au ndo mambo ya kuchapiwa ni siri ya ndani?