Search results

  1. illegal migrant

    Uwe makini zaidi unapotaka kununua gari kwa watu hawa

    Hata mimi wameni block ndio mana nawajazia nzi social media zote
  2. illegal migrant

    Uwe makini zaidi unapotaka kununua gari kwa watu hawa

    Kuna mkataba na nililipia Bank kama unaweza kazi njoo pm maana wanaonekana ni wahuni sasa tu deal nao kihuni tu
  3. illegal migrant

    Uwe makini zaidi unapotaka kununua gari kwa watu hawa

    Hawa jamaa wana ofisi zao Posta, wanadai wanaagiza magari unalipia nusu kisha gari ikifika unamalizia. Binafsi nimeagiza gari miezi tisa kila nikipiga simu naambiwa boss hayupo, nikienda ofisini naambiwa boss katoka. Nimewaandikia barua wamenijibu kwa kunipa masharti mapya ambayo kwenye...
  4. illegal migrant

    mama atakuja kuanguka

    nimeangalia viongozi wengi wakiwa na vimo vifupi huwa wanatumia magari ya chini Hillary Clinton aliamua kutembea na kigoda kama picha inavyoonekana pichani, kigoda hiki humsaidi kupanda kwenye gari hizi za juu (SUV) mama yetu anapanda gari ya juu kwa shida, ushauri wangu atumie kigoda au awe...
  5. illegal migrant

    Jinsi nilivyolipiza kisasi baada ya Kuliwa nauli (kisa cha Kweli)

    Nilikwenda kumtembelea mwanangu shuleni mkoa fulani, nikakutana na walimu wake ili kutambuana na nilitambulishwa kwa mwalimu wake wa darasa, alinisalimia kwa uchangamfu wa hali ya juu na kiukweli ana sifa zote za kuitwa mwanamke mrembo niliomba mawasiliano yake kwa ajili ya “kufuatulia maendeleo...
  6. illegal migrant

    Uwe makini zaidi unapotaka kununua gari kwa watu hawa

    Wengi tunataka magari ya bei nafuu, hii hupelekea kujikuta tuko tayari kununua gari bila kufanya uchunguzi wa kina, baada ya kujiridhisha kuwa gari unalotaka kununua lipo katika hali inayokuridhisha, ni. Ni muhimu kujua gari hilo liliingiaje nchini, hapa nazungumzia documents. Watumishi huwa ni...
  7. illegal migrant

    Kilio cha wakulima: Madalali wanatunyonya, hawalipi kodi, ni watu wabaya

    Dah jamaa naona unalazimisha tuzoeane...angalia profile yangu vizuri angalia post zangu vizuri kisha uje tena
  8. illegal migrant

    Kilio cha wakulima: Madalali wanatunyonya, hawalipi kodi, ni watu wabaya

    Kweli jamani kila mtu anatakiwa atafute riziki kihalali, ila vitu vingine vinaudhi, vinaumiza, niliamua kuwa mkulima kwa lengo la kujiongezea kipato, nikaamua kushirikiana na mzazi wangu aliyeko huko kijijini, tulianza kilimo cha viazi kwa kuanzia nilianza na hekari tano. Baada kulima kwa muda...
  9. illegal migrant

    NBC ATM yenu airport mbovu

    Unataka niondoke mje mzichukue siondoki aisee
  10. illegal migrant

    NBC ATM yenu airport mbovu

    Hapana bado nipo
  11. illegal migrant

    NBC ATM yenu airport mbovu

    Dah kuna wakati mwingine unashangaa ni kama watu wamechoka biashara au nini, nimechomeka kadi hapa kwenye ATM ya NBC imenitolea risiti ambayo inaonyesha hela imekatwa ila kiuhalisia sijapata hela nimekaa hapa ili nisubiri, bado naendelea kusubiri ili pengine zisitoke akachukua mtu mwingine...
  12. illegal migrant

    Ushuhuda kilichonitokea Kona Bar Sinza, Dar es Salaam

    Hiyo h sidhani kama unapajua ambiance boom likiwa halijatoka wale wa taasisi jirani wanajisogeza hiyo bei uliyosema ni ya kimboka
  13. illegal migrant

    Ushuhuda kilichonitokea Kona Bar Sinza, Dar es Salaam

    Walisema hatukuandika kwenye kitabu cha wageni
  14. illegal migrant

    Ushuhuda kilichonitokea Kona Bar Sinza, Dar es Salaam

    Huwa wanachukua hela kwanza mkuu
  15. illegal migrant

    Ushuhuda kilichonitokea Kona Bar Sinza, Dar es Salaam

    Sio lazima u comment kama hujaelewa, unaruhusiwa kuandika uzi wa aina uipendayo, wakuelimika wameelimika wakucheka wamecheka
Back
Top Bottom