Search results

  1. bananga

    Imeandikwa ishi nao kwa akili, sikusikia yamenikuta

    Naona kuna mengi umeyaficha jaribu kufunguka zaidi tujifunze
  2. bananga

    Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

    Achana na michepuko mkuu Ni hatari sana
  3. bananga

    Rayvanny nakueleza "mchumba hasomeshwi"

    Ni dm na mm mkuu niipate
  4. bananga

    Mzunguko hatari wa Mapenzi!

    Hii mbona kama story hivi Kuna uhalisia kweli?
  5. bananga

    M-Bet yaipa udhamini mnono KMC

    Wapambane wasalie kwenye ligi
  6. bananga

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    mwacha aende Reece atacover position yake soon
  7. bananga

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    hahahaa atasubiri sana
  8. bananga

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kwani matokeo ni ngapi ngapi wadao bila shaka point 3 tumeweka kibindoni
  9. bananga

    Msaada: Video na Audio kupause

    Habari za muda huu wanajamvi, hope mko poa. Simu yangu aina ya Samsung galaxy ukiplay video au audio hata radio inaplay sekunde kadhaa halafau inapause yenyewe sijui shida ni nini wadau? Ninatumia VLC na tunewiki kuplay. Msaada wenu wadau
  10. bananga

    Umbea na Kiherehere cha Kutangaza kuwa MO anajiondoa Simba wamtokea puani Mchambuzi Mnafiki Shaffih Dauda wa CMG

    Tunaomba utupe source ya Mo kukanusha either kwa video au post yoyote
  11. bananga

    Taarifa za Mo Dewji kujitoa kama mwekezaji wa Simba zipoje?

    OKW BOBAN SUNZU, hizi taarifa zina ukweli kuwa msimbazi kunafuka moshi mweusi
  12. bananga

    Diamond Karanga zimeishia wapi?

    Zilishadoda tayari, wanakula na familia yao huko madale
  13. bananga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hiyo ni kwa 2nd quorter. Vikapu 40 ni vingi 50/50 huenda wasivifikishe
Back
Top Bottom