Msaada: Video na Audio kupause

bananga

JF-Expert Member
Oct 2, 2013
658
332
Habari za muda huu wanajamvi, hope mko poa.
Simu yangu aina ya Samsung galaxy ukiplay video au audio hata radio inaplay sekunde kadhaa halafau inapause yenyewe sijui shida ni nini wadau?
Ninatumia VLC na tunewiki kuplay.
Msaada wenu wadau
 
Back
Top Bottom