Search results

  1. I

    Hatimaye yameshatimia, Kadi za Bima NHIF hazipokelewi hospitali za Private

    Wana bodi,baada ya kuripoti kadi ya NHIF kutopokelewa hospitali za private,hatimaye nimefanya uchunguzi wangu binafsi mbali na hospitali ya IMEC iliyopo manispaa ya Iringa,nikagundua kwamba,sio private zote hazipokei,bali ni hiyo tu moja(IMEC) ambayo hawajatoa sababu za kueleweka kwanini...
  2. I

    TCRA imulikeni Airtel

    Huu mtandao wa Airtel ni muda wa zaidi ya wiki sasa mawasiliano yake yamekuwa mabovu sana. Unapiga huwezi kusikilizana kabisa kwani simu aidha ikatike au ikorome kama redio iliyokosa mawimbi . Tunaomba mamlaka husika zichukue hatua kwani ni sawa na kuibiwa pesa zetu za vocha huku tukikosa...
  3. I

    Msanii Mwana FA bado hajapona Covid-19?

    Huyu msaanii ni miongoni mwa watu wa mwanzoni kabisa kutangaza kupata virusi vya Corona. Mpa sasa hakuna habari zozote za kuhusu kupona kwake ama kuwepo karantini. Mwenye taarifa atujuze.
  4. I

    Hali ya usafi Iringa manispaa ni mbaya

    Ni muda wa miezi mitatu sasa hali ya usafi katika mji wetu wa Iringa imekuwa mbaya sana. Kwenye maeneo ya kutupia taka maarufu kama madampo uchafu hauzolewi hasa dampo la Mwembetogwa uchafu umezagaa na harufu mbaya jambo linalopelekea kero ya harufu mbaya pamoja na nzi wa kutosha. Jambo la...
  5. I

    Hawa StarTimes ni sikio la kufa, local channels bure bado hazionekani

    Waungwana, Pamoja na matamko mengi kutoka kwa waziri na TRA kuhusu local channels ila naona mambo bado. Leo asubuhi nitumiwa ujumbe mfupi kuhusu kukatiwa matangazo siku moja kabla. Hii ni baada ya kununua kifurushi cha 600 siku 26 zilizopita. Sijui tutaponea wapi.
Back
Top Bottom