Familiarity breeds contempt. Kukaaa sana altareni na kuyazoea mno mambo matakatifu wakati mwingine kunaweza kuondoa ile hofu ya Mungu na matakatifu yake na kumfanya mtu ayaone mambo ya kawaida tu na hivyo kupoteza hamasa ya maisha ya kiroho
Usihangaike sana. Ubongo wa mwanadamu una mengi. Kuna wakati ubongo hufanya errors kama ilivyo kompyuta au simu. Kuna wakati vifaa hivi pamoja na kwamba vimetengenezwa kwa ujuzi wa juu sana lakini hufanya makosa bila kutarajia. Vivyo hivyo ubongo wa mwanadamu. Ndoto yako ilikuwa ni error ya...
Wakongo ni watu wa starehe sana kwa hulka yao. Kutokana na hali hiyo wakawa wabunifu sana katika utunzi wa nyimbo za muziki na uimbaji. Lakini Siasa kali za Mobutu (udikteta) uliwafanya wakongo watafute njia za kujiliwaza kwa kukimbilia kwenye muziki na hivyo mziki wao ukapanda sana chati...
Mwenyekitu, umesema kweli kabisa. Majiniasi wengi hawana creativity. Ila wana photografic memory hawasahau kitu. Wanameza yote na kukumbuka yote. Ila ubunifu wengi wao hawana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.