itara
JF-Expert Member
- Aug 10, 2013
- 2,238
- 1,564
Kwa majibu mepesi ya fastafasta.
Ni kweli wengi wenye akili nyingi esp maskini wanafyatuka akili...
A) kwa sababu ya mazingira na maisha magumu wanapotokea.
B) mila na tamaduni duni.
C) elimu wanazo fundishwa.. hapa ntaeleza kwa ufupi .. elimu au maarifa sensitive yanaweza kuwafyatua akili. Wajuzi watanielewa.
D) matatizo ya kwenye ubongo..inaweza kuwa ni abnormal au ni kutokana na majeraha ukubwani au wakati wakuzaliwa nk.
Hitimisho\pendekezo kwa walimu ukishamtambua mwfunzi kuwa yupo soo bright usimfundishe mambo ya kiakili kama falsafa, psychology au hata tiba na hizi sayansi za jamii kwani akili zao zipo more practically tofauti na hizi zetu ambazo zipo theoretically.. hii itwasaidia kutojihusisha na real event...
Nimebuni tu yote hayo ..kwa kaelimu kangu ka std vii c, wajuzi watasahihisha