Ndugu wana jamii kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nauza mahindi mabichi mahususi kwa ajili ya kuchoma. Ninayo heka tatu ni yale makubwa mbegu DK 8031. Napatikana Moshi, nahitaji dalali au mtu anayeweza kuchukua yote kwa jumla. Au at least kuanzia heka moja huku wananunua matatu sh 1000...
Ndugu wana jamii kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nauza mahindi mabichi mahususi kwa ajili ya kuchoma.. Ninayo heka tatu ni yale makubwa mbegu DK 8031, Napatikana Moshi, nahitaji dalali au mtu anayeweza kuchukua yote kwa jumla, AU at least kuanzia heka moja..Huku wananunua matatu sh 1000...
Mothiba-South Africa, N. Pepe- Ivory Coast... Hawa ni mastaa wanaokimbiza kwa ufungaji Ufaransa League 1 hapa wanacheza uchafu maforward hawajafunga hata bao moja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.