Search results

  1. G

    X wangu kaniambia nimemroga!

    Coincidence tu. There is no any connection between maneno hayo na miscarriage. Zipo sababu nyiingi sana zinazoweza kasababisha miscarriage na zinaelezeka wazi kitaalamu na zinarekebishika. Tatizo hilo linawakumba wanawake wengi duniani, je hao nao walipewa laana na nani? Come on, my great...
  2. G

    Wanaume wengine ni malimbukeni wa kutongoza na mapenzi

    Kaaaaaaz kweli kweli. Hicho ni kichekesho cha mdada anaitwa Ann Kansiime. Ni Mganda huyudada na wala sio Nigeria kama wengine wanavyodai. Ulikuwa na nia nzuri. But be careful next time.
  3. G

    Mke wako anapopigwa vibao na jamaa huku ukishuhudia...

    Ukubwa wa kichwa haimaanishi kuwa na akili nyingi. Katika sanaa ya mapigano kinachotakiwa ni akili, mbinu,maarifa, wepesi na pumzi ya kutosha. Kwa wale waliocheza judo watanielewa vizuri. Kuna kitu kinaitwa KUZUSHI kwa Kijapani ikimaanisha KUMDE-STABILISE ADUI. Kuzushi ikifanyika vzr mtu wa 60kg...
  4. G

    Mrejesho; baada ya kukataa mahari ya binti yao

    Duuuh. Pole sana mkuu. Niliisoma habari hii ulipopost mara ya kwanza japo sikuweza ku comment. Mimi naona kila linalotokea hapa duniani lina sababu. Huyo hakupaswa kuwa mkeo. There must be a problem somewhere tangu mwanzo wa relationship yenuhasa kwa upande wa family ya huyo binti japo wewe...
  5. G

    Utamu ni nini hasa?

    Mkuu,hapa haya mambo yapo ki-sakolojia zaidi na mind set yako wewe mwenyewe,uwe ke au me. Kwa kifupi nadhani mtamu ni wewe mwenyewe vile utakavyotengeneza hisia/feelings kwenye akili yako kuwa nipo na mwanamke mzuri kuliko wote say Miss Universe ( kama wewe ni me ), ndivyo utakavyo hisi utamu na...
  6. G

    Kuna kitu Rwanda inachokitafuta Tanzania! (Serikali nchi yetu ni salama kiasi gani?)

    Nani kakuambia Tanzania na Rwanda zinata kupigana,au Tanzania inataka kuivamia Rwanda? Lakini kwa kuwa umekiri kuwa ni story za kitaa,basi zingeishia hukohuko kitaani kwa watoto wa vijiweni kuliko kuandika gazeti reeefu from point of ignorance na kuzileta humu kutujazia saver bure. My free...
  7. G

    ICC na watawala wa Afrika

    Hili suala jinsi linavyoendeshwa haiingii akilini kwa mtu yoyote yule mwenye akili timamu. nashindwa kuelewa,hivi hapa kinachoogopwa ni nini. Hivi kama mtu anatuhumiwa na kosa lolote na kwa bahati nzuri anatakiwa akapewe muda wa kusikilizwa na competente court in my view solution ni kwenda na...
  8. G

    MIMBA inaweza kuwa njia mbadala ya kudhibiti UKIGEUGEU wa wasichana

    The only solution ya kupunguza ukigeugeu wa wanaume is just in the same parameter. Ni kukubali kuwabebea mimba. Hio ndo itamfanya mwanaume awe committed kwa mwanamke akijua kuwa kuna kitu kinawaunganisha ambacho ni mtoto na kumfanya aache u kigeugeu. I STAND TO BE CORRECTED.....!
  9. G

    wasichana na chuki kwa wanaowatoa usichana.

    This is very simple bro,as you have just mentioned above, KAPATA NA WEWE UMEPATA MIAKA 10 IMEPITA. If I put myself in your position,ningeendelea na maisha yangu kama kawa,hanidai,simdai. Nashangaa wewe ndo unaanzisha kulalamika kuwa anamind, anamind kuhusu nini to be specific. Yeye ameshawahi...
  10. G

    Mpenzi wangu akivaa kondom dushelele linalala

    Kuna rafiki yangu nae hupata problem exact kama hio,yeye alisema mekuwa akipaga punyeto tangu akiwa o-level miaka ya 1994 hadi leo, coz alisoma shule ya boys tupu. Pia aliniambia huwa anasex bila condom akipata mwanamke anaemwamini. Alipouliza kwa Doctor akajibiwa kuwa hali hio inatokana na...
  11. G

    Ofisa JWTZ ahofiwa kutorokea Rwanda

    Be careful, Lt Col hana nyota mbili. Ana ngao moja ya bibi na bwana na nyota moja. Ni baada ya cheo cha major. Ukiwa na degree unaanza na nyota moja ie luteni usu au 2nd Lieutenant. Mwenye nyota mbili ni Luteni. Lt Col ni ofisa mkubwa anaweza kuongoza kikosi. cheo kinachofuata hapo ni Kanali...
  12. G

    Wanawake condom inawasha au ladha inapungua?

    Hawa ndo great thinkers wetu. Kuwa positive 95 percent in what,in the 1st place.? ok kama ulimaanisha HIV, Unajiacha vipi wewe baada ya kuadmit umemla bila condom msichana kwa kipimo cha umri ie 19yrs...? jamii forums raha sana jamani..
  13. G

    Msaada wa kublock namba ya simu inayonisumbua

    This is very simple my brother,though it depends on ur mobile phone kama ina option ya ' set as a reject number ' au kama alivyo suggest huyo hapo juu 'black list' so click hapo then add the number in the reject list na kero yote itakwisha. Kila akipiga atakuwa anaambiwa user busy finaly...
  14. G

    Wanawake wenye HIPS kubwa ni WEREVU zaidi kuliko wasio na HIPS!

    Kama huna hips bora kukaa kimya. Bila sayansi usingeweza hata ku-post hizo comments zako. By the way,hips sio kila kitu.....!
  15. G

    Kwa nini wanawake walioolewa pindi wanapocheat hupenda kuvua pete zao za ndoa.?

    Wadau,naomba msaada katika hili, Hivi ni kwa nini unapomgegeda mke wa mtu wengi wao hupenda kuzitoa pete zao za ndoa wakati kwa mimi huwa napenda wasiwewanazitoa coz huniongezea mshawasha na mihamko pindi ninapomgegeda huku naiangalia hiyo pete..?
  16. G

    Serikali ya Rwanda imeapa kutowafukuza Watanzania!

    Why crying.....? I don't find any reason behind a parent who is crying when his/her son/daughter is told to go back to him/her from a person who was giving him /her a voluntary ( not mandatory ) support..! The GOVT of Rwanda should not be CRYING to attract sympathy from International Community...
Back
Top Bottom