Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,139
- 12,286
Hebu fikiria, umetoka na mkeo kwa ajili ya mlo wa jioni.
Mgahawa ni mzuri uko pembezoni mwa bahari. Upepo mwanana unazifurahisha nyoyo zenu.
Mnakumbushana milima na mabonde mliyopitia. Mnacheka kwa furaha huku mkipongezana na kumshukuru Mungu kwa jinsi mnavyovumiliana na kupenda.
Mnaongelea kuhusu mipango yenu kazini, na namna ya kuboresha miradi yenu binafsi.
Mkiwa katikati ya maongezi, anatokea jamaa mmoja.
Ghafla anaanza kumrapua vibao mkeo eti anaringa sana.
Humfahamu wala hujawahi kumuona.
Siku hiyo ndio unamuonba kwa mara ya kwanza na hii ndio picha yake hali baada ya kumaliza kumpiga mkeo
Je utamfanya nini ili kumzuia asiendelee kumuumiza mkeo?

Ukitaka kujua nguvu za mlevi mwaga pombe yake?????????
Umeona eeh?!! Labda kwa kabila lao Mke ni Manzi maana wenzake wote wanaongelea issue ya mke yeye anaongelea Manzi :wink2:? TANMO kwani umeoa mwanangu? Yaani mie siwezi angalia mume wangu anapokea mkongoto jamani....hata kumng'ata huyo jamaa nitamng'ata halafu baadae ndio nijue kwanini anapigwaAnaongelewa mke we unaleta usharobaro!!!!!!
Ha! ha! ha! Uuuwi! Hii inaitwa "Chezeiya my waif wake makoye78 wewe"?!!Hakuna kitu, mbele ya mama Njokii sikuachi hivi hivi! Kwanza haya ma-baunsa dawa yao ni NGWALA tu, ni wazito juu lakini chini hamna kitu, piga mtama, ukianguka chini nang'ata pu.mbu! Lol..
Yesuuu! yani bwashe ntampiga risasi nyingi huyu hadi awe chandarua!!
Kiukweli mijamaa ya namna hiyo ngumi zao inakuwa hazichomoki kabisa,kwasababu ya hizo massive muscles walizotengeneza,then hawana pumzi alafu sio wepesi. Ukiwa mjanja hafikishii hata dakika 2,..muhimu usimpe chansi mkaminyana,itakula kwako.
Ukitaka kujua nguvu za mlevi mwaga pombe yake?????????
Kazi kwelikweliUmeona eeh?!! Labda kwa kabila lao Mke ni Manzi maana wenzake wote wanaongelea issue ya mke yeye anaongelea Manzi :wink2:? TANMO kwani umeoa mwanangu? Yaani mie siwezi angalia mume wangu anapokea mkongoto jamani....hata kumng'ata huyo jamaa nitamng'ata halafu baadae ndio nijue kwanini anapigwa
hahahaaaaa..umeua...