MWILI NYUMBA
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 817
- 255
MWILI NYUMBA
Hapa ndipo tunapotofautiana katika kujenga na kujadili hoja.
kwa ujumla wake tunajadili usalama wa watanzania na mstakabali wa amani kwa taifa letu.
-madawa ya kulevya yanatihia uhai, amani na usalama wa taifa letu
-Huduma duni za afya zinatishia uhai, amani na usalama wa taifa letu
-Siasa chafu za majungu na propaganda zinatishia uhai, amani na usalama wa taifa letu (mwigulu, kinana, nape, pinda nk
-Uhusiona na ushrikiano mbovu na mataifa jirani zetu unatishia amani ........(malawi, kenya, rwanda.......
-Wezi na matapeli wa raslimali zetu, wanyama, madini na ardhi ni tishio pia. (mikataba feki, tozo za ovyo za kodi kwenye vitalu na kampuni za madini nk
Sasa kwa mtazamo wako na kwa propaganda zenu kagame ndiyo tishio kubwa kabisa kwa uhai, amani na ustawi wa taifa letu kuliko
madawa ya kulevya, afya duni, siasa za visasi na unafiki, nk? hata siwaelewi mnajadili nini hasa maana hamjuwi lengo haswa la mnachokitetea
Wewe na nani unaongelea hiyo hoja hapo kwenye Bold?? Mimi naongelea hoja hii "Re: Serikali ya Rwanda imeapa kutowafukuza Watanzania!" na nawashangaa wanaoishutumu Tanzania kuwaondoa wahamiaji haramu wakifananisha na mada hii kuwa watanzania wanaoishi kihalali Rwanda kutokufukuzwa, utafikiri sisi tunawafukuza wanyarwanda wote ambao wapo nchini.
Hii hoja yako ifungulie thread tutakuja kukujuza pia. Hivi si watu walikuwa wanasema Rwanda kuna maisha mazuri mara Kagame anawathamini raia wake sasa kinachowafanya nyie mngang'anie kwa watu tena bila vibali vya ukazi ni nini??