strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,300
Acha uongo wee jamaa habari za udaku zimekuharibu ukiishiwa udaku unaona utunyweshe supu ya nguruwe !
Leo kuna mwanaume alikuwa nje ya bank mara akamuona binti mzuri anatoka benki.
Akawa amempenda pale alipokuwa nje kulikuwa na gari nzuri toyota 4runner.jamaa akaanza kutongoza uku akiwa kaegamia ile gari na kujisifu ile gari ni yake na akahidi kumpa eti anazo nyingi.
Kumbe hiyo gari ni ya mwanamke mwenyewe anayetongozwa alikuwa ameipaki akaingia benki. Jamaa alikuwa hajui.
Baada ya kumaliza kutongoza na kutoa bznes card.binti akamwambia ebu nipishe akaingia kwenye gari yake na kutokomea. Jamaa akabaki na aibu tele.
Hivi ukimpenda mtu ni hadi ujisifie mali za uongo. Je ukisema ukweli hautopendwa?
Acha uongo wee jamaa habari za udaku zimekuharibu ukiishiwa udaku unaona utunyweshe supu ya nguruwe !
Hii ni abunuwasi part II uongo tu Hapa
umekopi kichekesho cha Ann kansiime....acha hizo wewe muuza sura
Remixxxxx....tumeishtukia hii!!!
Huna thread Nzuri zaidi ya majigambo ya mastaa na we mwenyewe shwain,elimisha watu sisi ni great thinkers udaku peleka Facebook huko au global publishers
Naona nimekugusa ndio hivyo sasa ubadikike uwe mkweli
Ndio nani huyo? Hiki kisa cha ukweli na kuna wengine wapo umu JF na wamemind sana baada ya kusoma uzi huu.
Cha muhimu watu wabadilike. Wewe ujawai kuona watu wa hivi?
Sijakuelewa, sijawai kusoma kichekesho hiki bali ni ukweli na imetokea leo