Dunia ya sasa mawasiliano yanarahisha mambo ila hawa Nacte bado wapo ki zamani sana.
Yani malipo nimefanya tangu tarehe 10 Feb 2022 ila mpaka sasa hakuna taarifa yeyote.
Kuna uzi nilisoma humu nikakutana na comments za wadau walisema ndani ya siku mbili transcript unaipata basi nikafanya malipo...
Mwezi wa Pili 2022 Mm na Jamaa Tulilipia Malipo ya Huduma ya Transcript kwenda NACTE ila mpaka sasa kimya. Tumejitahidi kuwapigia kupitia Namba zao Ambazo Zinapatikana ktk tovuti yao Cha Ajabu Majibu Wanajibu Kwa Dharahu Mara Sihusiki.
Sasa najiuliza hizo namba kwenye tovuti yenu zipo kwa kazi...
Mbuzi wanalipa sana mkuu, nina ndugu zangu hii biashara imewatoa sana kimaisha sasahivi ukiwakuta kwenye majumba safi na ya kisasa zaidi na kila mmoja kajiwekezea mbuzi 200+ maisha safi yanaendelea
Kuna siku nipo kitaa nakutana na jamaa afisa wa hiyo BancABC ambaye tumesumbuana nae mahakamani kaniomba hela , kwa kweli kulingana na dharau zake kipindi cha kusumbuana mahakamani NILIMNYIMA japo mfukoni nilikuwa nayo , angenifanyia fair kunihudumia ningempa hata 10000 akanywe supu maisha...
Mm mwaka 2018 mwezi wa 6 niliomba kuwalipa BancABC mkopo wao , nilifatilia taratibu zote wakawa wananizingua , nikaenda mahamani kuwashitaki wakaitwa na wakakiri kweli nimeomba barua ya stop reduction , shida ikaja lini watanipa hiyo barua kila tukienda mahakama ya mwanzo wanadai mtandao hakuna...
Hivi haya madaraja ni kuanzia ajira za mwaka gani ?? Kuna wanaosema 2014 hawapandi wametolewa na wengine wanadai mpaka 2014 wanapanda anaejua zaidi kuhusu hili naomba anisaidie nijiandae kisaikolojia mapema
Kama Unatumia Kingamuzi cha Azam Fanya hivi mkuu.
1: Bonyeza menu.
2; Bonyeza Digital TV.
3:Nenda kwenye Channel Manager.
4: Kisha Bonyeza OK hapo channel Manager
5: Chagua Chanel unayotaka kuifuta kisha.
6:Bonyeza button ya blue kwenye remote yako ya kingamuzi.
7:Click neno Yes.
Chanel itakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.