Search results

  1. batmanwafez

    Kitanda kinauzwa

    Kitanda na godoro vinauzwa vyote vipo katika hali nzuri. Bei ni 180,000 tu Vinapatikana Mwanza-Pasiansi.
  2. batmanwafez

    Nini cha kufanya ukikutana na hirizi nyumbani au kazini?

    Jamani leo nimekutana na hirizi kazini mida hio nafunga biashara. Mawazo yenu ndugu zangu maana nawaza hata sipati jibu. Sisi binadamu tunachekeana tu lakin mioyoni ni nyoka.
  3. batmanwafez

    Maisha ya Udalali: Kumzunguka dalali ni sawa?

    Habarini wakuu poleni na majukumu. Ttwende kwenye mada. 1. Unatafuta chumba/kiwanja, ukaingia Jamiiforums ukaona tangazo la dalali na ametaja eneo na bei. Sasa kuepuka kumlipa ile 10% Kwakuwa unafahamu lile eneo wewe unaenda unaulizia mwenyewe na ukalipa direct kwa mwenye mali. Je, hiyo ni...
  4. batmanwafez

    Umepataje namba yangu!!!?

    Moja kwa moja kwenye mada...hilo swali ni gumu sana kwa vijana domo zege(mostly) na wapenda kutelezea ganda na ndizi. Unakutana na binti mkali haswaaa ila kumuomba contacts inakua mtihani. Unapitia kwa rafiki zake, wanakupa namba zake ila unapewa SHARTI moja tu kwamba usimtaje... Haya sasa...
  5. batmanwafez

    Tanzania tuwaige Korea kusini

    Habarini wadau, kila nchi ina vitu vizuri na vibaya vyake ila sio mbaya mtu kufata na kuiga mfano wa vile vitu vizuri. Kwa mfano hii sheria ya korea kusini inayotaka raia wake wote kabla ya kufikisha miaka 28 wapitie mafunzo ya jeshini kwa miaka miwili...labda tu wawe wameletea sifa taifa lao...
  6. batmanwafez

  7. batmanwafez

  8. batmanwafez

    Mmh mapenzii bhasiii tena...

    Habarini wanajamii wenzangu. Nahisi hii itakua post yangu ya kwanza upande huu adimu wa malove love... Anyway twende moja kwa moja ndani. Mim ni kijana nipo mid 20s kwahio sio mzee sanaa. Mwaka jana kwenye mwezi wa kumi hivi kuna jamaa tupo nae kazini pale akaja na kabinti. Mh kasichana kazuri...
  9. batmanwafez

    Samsung galaxy S5 inauzwa

    Samsung Galaxy S5 inauzwa Call 0752 370724
Back
Top Bottom