batmanwafez
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 882
- 1,363
Habarini wadau, kila nchi ina vitu vizuri na vibaya vyake ila sio mbaya mtu kufata na kuiga mfano wa vile vitu vizuri.
Kwa mfano hii sheria ya korea kusini inayotaka raia wake wote kabla ya kufikisha miaka 28 wapitie mafunzo ya jeshini kwa miaka miwili...labda tu wawe wameletea sifa taifa lao kupitia michezo
Binafsi kama mwanamichezo niliipenda sana kwa sababu inawapa vijana moralii ya ushindani, sio tu kwenda kwenye mashindano bila malengo yoyote.
Ningependa sana siku moja hii sheria ipitishwe[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app