Umepataje namba yangu!!!?

batmanwafez

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
882
1,342
Moja kwa moja kwenye mada...hilo swali ni gumu sana kwa vijana domo zege(mostly) na wapenda kutelezea ganda na ndizi.

Unakutana na binti mkali haswaaa ila kumuomba contacts inakua mtihani. Unapitia kwa rafiki zake, wanakupa namba zake ila unapewa SHARTI moja tu kwamba usimtaje...

Haya sasa unamfata inbox...baada ya salam na kujitambulisha sanaa...anakuuliza swali "nani kakupa namba yangu?"
Unaanza kujiuma uma weeee.
Jamani wazoefu wa haya mambo watupe majibu mazuri ya hili swali tata bila kumtaja aliekupa namba.

Baadhi ya majibu:
1. Niliiona kwenye profile yako facebook(tuna assume yupo fb)
2. Ilikua kwenye group la whatsap...lazima tu awe kwenye magroup aiseee
3. Mtu umpendae huwezi kukosa mawasiliano yake n.k
Jamani wazoefu wa haya mambo ongezeni sababu tuwaokoe madomo zege humu
 
Mm huwa nawaambia hivi, ulinipa namba mwenyewe kama miezi mitatu iliyopita. Akikataa unankomalia na katika kubishana huko ndiko unazid kumuweka karibu
 
Jibu: nilitumiwa na rafiki ako pindi Niko pado nje sasa nimerudi tz nimeona nikuchek,VP umemaind nisikutafute tena??? Apo utapata jibu mwenyewe!!!
 
bila shaka wewe mleta mada umezidiwa kete na mtoto mzuri umekuja kutafuta mbinu huku 😎
 
Mpe jibu lake
Screenshot_20180913-102906.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom