Search results

  1. ehee kumbe

    Pata Asali kwa punguzo

    Waungwana Mimi ni mfuga Nyuki nipo Dodoma. Nimepata dharula ,sina namna nimeamua kuuza Asali ya nyuki wakubwa kwa bei ya hasara ili nikidhi hitaji lililonisibu. Asali huwa nauza ndoo ya Lita 20 kwa sh laki mbili.kwa vile Nina shida nimepunguza bei mpaka sh laki moja na nusu kwa ndoo moja...
  2. ehee kumbe

    Msaada: Vifaa hivi vya useremala nitavipata wapi

    Samahani waungwana ina karakana yangu ya ufundi furniture hapa Dodoma kuna vifaa navihitaji sana, nimejaribu kuvitafuta Dar nikakosa lakini Dar ni kubwa inawezekana vipo. Naomba yeyote mwenye kujua wapi wanauza au kama unavyo naomba nijulishe.Nahitaji machine inaitwa dovetail machine. Mafundi...
  3. ehee kumbe

    wajuzi wa simu smartphone ebu tililika hapa

    Samahani waungwana nimekuwa nikitumia smartphone za kampuni ya tecno .sasa nataka nihame kwenye aina nyingine ya sumu. Napenda simu screen size iwe 5.5",iwe unachukua laini mbili,iwe na kamera nzuri kabisa. Ram iwe kuanzia 2gb,internal storage ianzie 16gb. Je simu gani itafaa...
  4. ehee kumbe

    Ni wapi Dar napoweza kupata vifaa vya gym?

    Samahani wakuu ninahitaji kupata kifaa cha kufanyia mazoezi hasa ya kukimbia.kuna kifaa kinaitwa treadmill kitanifaa zaidi. Wapi wanauza kwa Dar?
  5. ehee kumbe

    Nahitaji mapipa au chombo chenye ukubwa wa pipa ili mradi tu kiwe stainless ya ukweli

    Mi ni mjasiriamali WA usindikaji vyakula .ili kazi yangu iwe na ubora unaotakiwa lazima niwe na hivyo vyombo vya stainless kwa ajili ya kusindikia.naomba msaada kwa Tanzania hapa nitapata wapi au kama unavyo tufanye biashara.namba yangu 0717 707565
  6. ehee kumbe

    mbona mnanibagua katika jukwaa hili

    Nimerudi tena tangu wiki iliyopita niliomba msaada lakini naona mmenichunia hakuna hata mmoja aliye nisaidia tofauti na wengine wakiomba msaada wanasaidiwa Narudi naomba nisaidieni ni wiki moja simu yangu imegoma kuonyesha majina inaandika contact updating.. Kwenye SMS inaandika SMS loading...
  7. ehee kumbe

    Naomba msaada simu imegoma kuonyesha majina SMS

    Samahani waungwa, natumia simu TECNO H5 toka wiki iliyopita kila nikibadilisha Berti au kutoa line nikiirudisha inakuwa haionyeshi majina na SMS mpaka kesho yake ndo inaonyesha, kwenye SMS inaandika hivi messages conversation. Leo toka asubuhi tatizo hili limejirudia hata simu nashindwa kupiga...
  8. ehee kumbe

    Naomba msaada simu imegoma kuonyesha majina sms

    Samahani waungwa.natumia simu TECNO H5 toka wiki iliyopita kila nikibadilisha Berti au kutoa line nikiirudisha inakuwa haionyeshi majina na SMS mpaka kesho yake ndo inaonyesha,kwenye SMS hivi messages conversation.Leo toka asubuhi tatizo hili limejiridia hats simu nashindwa kupiga majina...
  9. ehee kumbe

    Nahitaji lemon grass essential oil

    Ndugu wana jamii samahani nahitaji lemon grass essential oil.kwa yeyote mwenye kuwa nayo ani-pm
  10. ehee kumbe

    Baada ya kutumia annointing water ya tb joshua je unasemaje ?

    Watu wengi sana kwa sasa wanasumbuliwa na matatizo makubwa hasa magonjwa.wamehangaika sana kusaka matibabu lakini nafuu kwao imekuwa ngumu.wengine wamekimbilia tiba mbadala. kwa sasa kupitia tv wengi wanashuhudia mahubiri na miujiza ya T.B JOSHUA.kupitia annointing water.kama ilivyo kawaida ya...
  11. ehee kumbe

    natafuta rafiki

    wana jf natafuta rafiki sibagui rangi,jinsia,kabila,elimu,aliye tayari ani-pm
  12. ehee kumbe

    Naomba msaada namna ya kupata url ya video yoyote ile

    Wanajf wenzangu mimi si mjuzi sana wa COMPUTER ila maujanja kidogo nayapata humuhumu jf.nimedownload free idm kila nikitaka kudownload video inanitaka niweke video url.nisaidieni hii ul inapatikanaje.
  13. ehee kumbe

    Natafuta mwalimu wa kubadilishaana nae kituo

    mwalimu wa shule ya msingi yuko kibondo anatafuta kubadilishana na mwalimu yeyote kutoka Kahama au Morogoro.aliye tayari ampigie namba 0765541957
  14. ehee kumbe

    Naomba msaada wa namna ya kurudisha picha zangu zina virus

    Habari wana jf wenzangu nina kamera yangu ya picha ya digital inatumia memory card kama ya simu kuhifazia picha.juzi nimeenda studio picha zilikuwa zinaonekana lakini tulipoweka memory card hiyo kwenye computer zile picha hazionekani zimefunikwa na kitu cheusi.studio wakaniambia hao ni virus...
  15. ehee kumbe

    Anaye hitaji kiwanja cha kujenga tasisi mkoa wa dodoma hiki hapa

    Wana jf wenzangu nina eneo la ekari 10 liko manispaa ya Dodoma kijiji cha Nzuguni kitongoji cha Machimbo.kiko umbali wa km moja toka barabara kuu ya DODOMA-DAR.barabara ya kufika eneo hili ni nzuri inapitika mwaka mzima eneo hili mwaka jana agosti nilihitaji nikate viwanja vingi...
  16. ehee kumbe

    Nisaidie nahitaji maboksi ya kufungashia bidhaa nitapata wapi ?

    Wana jf wenzangu,mimi ni mfugaji wa nyuki na mzalishaji mkubwa asali.ninahitaji maboksi ya karatasi ngumu kwa ajili ya kuweka chupa za asali.maboksi hayo yawe na uwezo wa kubeba dazani moja ya chupa za ujazo wa lita moja.nimejalibu kutafuta niwapi wanatengeneza ili nitengenezewe nimekosa.naomba...
  17. ehee kumbe

    Nisaidie nahitaji maboksi ya kufungashia bidhaa nitapata wapi ?

    Wana jf wenzangu,mimi ni mfugaji wa nyuki na mzalishaji mkubwa asali.ninahitaji maboksi ya karatasi ngumu kwa ajili ya kuweka chupa za asali.maboksi hayo yawe na uwezo wa kubeba dazani moja ya chupa za ujazo wa lita moja.nimejalibu kutafuta niwapi wanatengeneza ili nitengenezewe nimekosa.naomba...
  18. ehee kumbe

    Incubator,incubator incubator hizi hapa kwa bei nafuuuuu

    Tunatengeneza incubator za kutotolea mayai ya ndege wa aina zote.ni incubator zenye ubora wa hali ya juu.ni automatic zinageuza mayai zenyewe,zinacontral zenyewe kiwango cha joto na unyevu. zina dumu muda mrefu kwa sababu tunazitengeneza kwa kutumia malighafi zenye kiwango cha juu cha...
  19. ehee kumbe

    Huyu jamaa kuoga anashindwa

    Nina kijana wangu sasa ana miaka 15, akiwa naumri wa miaka 9 akapatwa na tatizo ambalo hapo mwanzo hakuwa nalo juu ya kuoga.akioga anawashwa mwili mzima anajikuna sana. Tena anajikuna sana akioga maji ya baridi,bora maji ya moto.ili asijikune lazima aoge kisha akitoka bafuni mara moja afanye...
  20. ehee kumbe

    Hivi hili shinndano la big brotther

    Hili shindano kila linapoanza mpaka linaisha limekuwa likitangazwa sana na hata kuonyeshwa na vyombo vingi vya habari hasa TV.kwa rika zote hasa vijana ndio wanaongoza zaidi kuangalia na kufatilia matukio ya huko mjengoni.nimefanya utafiti wakati wa mashindano haya vijana wengi wanayafatilia...
Back
Top Bottom