Search results

  1. Bintiwangara

    Mwanaharamu wa Kisiasa (Riwaya)

    m mpaka lini kaka? Tusimulizie sehemu zingine
  2. Bintiwangara

    Mwanaharamu wa Kisiasa (Riwaya)

    mbona kimya mpaka leo, au sehemu nyingine utaendelea lini?
  3. Bintiwangara

    Shamba linauzwa kiromo bagamoyo

    *SHAMBA..SHAMBA..SHAMBA* Shamba/Liko kwenye makazi ya watu heka 4..kiko bagamoyo maeneo ya Kilomo...ukiwa unaenda bagamoyo mjini kutokea Mwenge unashuka kituo cha kilomo..mkono huo wakushoto km3 mpaka kwenye eneo husika.Eneo linafaa pia kwa kuishi..mifugo na kilimo.kipo kwenye makazi...
  4. Bintiwangara

  5. Bintiwangara

    Trump amfukuza kazi Waziri wa mambo ya nje Rex Tillerson, amteua Mike Pompeo kuchukua nafasi yake

    Nyani Ngabu hii siyo breaking news, ina masaa 48 sasa. umekopi na kupest hata gazeti la mwananchi linalotoka tarehe 13 , taarfa ipo
  6. Bintiwangara

    Mwanaharamu wa Kisiasa (Riwaya)

    mb mbona kimya, leo si ndiyo jumatatu?
  7. Bintiwangara

    Wale mnaotaka magari used kwa bei nafuu karibuni sana

    tupia picha za ndani ya gari, bolnet kila kitu
  8. Bintiwangara

    Tundu Lissu: Ninaendelea vizuri na matibabu

    ubarikiwe sana, Mungu ashukuriwe
  9. Bintiwangara

    Mwanaharamu wa Kisiasa (Riwaya)

    DAAA, UNATISHA, SASA CHRIS ATAPONA KWELI?
  10. Bintiwangara

    Raila Odinga Abadilisha Mwelekeo wa Siasa wa Kenya

    SIASA SI UBAGUZI, SIASA NI MAELEWANO
  11. Bintiwangara

    Picha: Kwa hili suala la Yanga kuhusishwa na Rushwa ushindi mechi ya Kagera Lifuatiliwe kwa Umakini

    achane wivu, na unafiki, acheni kutengeneza maneno, mech yenu na mbao, kwa hiyo muliwahonga mbao?
  12. Bintiwangara

    Hii michezo ya "bingo" mbona sasa too much?

    Vyuma vimekaza, biashara zingine ni ngumu kuziendesha , lakini bahati nasimu ni Raisi mno. ukiwa na laptop tu. umemaliza kazi.
  13. Bintiwangara

    Eneo Heka 4- kuuzwa kiromo-Bagamaoyo

    Eneo lipo kiromo bagamoyo , upande wa kushoto( upande wa shule ya kiromo) kama unaenda bagamoyo mjini. ni km 3 kutoka barabarani. ni Heka 4. Eneo linafaa kwa ufugaji, ujenzi wa shule, Kujenga Nyumba na kuishi, na shughuli zingine za maendeleo. Umeme na maji vinapatikana. Bei ni Milion 29...
  14. Bintiwangara

    Qualifications zipi za kupangiwa shule za vipaji kwa kidato cha tano na sita?

    tatizo siyo one ya ngapi, je kwenye comb una A tatu?
  15. Bintiwangara

    Qualifications zipi za kupangiwa shule za vipaji kwa kidato cha tano na sita?

    tatizo siyo one ya ngapi, je kwenye comb una A tatu?
  16. Bintiwangara

    Kiwanja kinauzwaMil.5-MBEZI(unaweza kulipa kwa installment mbili)

    ok, karibu kaka tufanye biashara
  17. Bintiwangara

    Kiwanja kinauzwaMil.5-MBEZI(unaweza kulipa kwa installment mbili)

    hapa ni mbezi mpigi magoe, mji mpya huu kaka, siyo mbezi barabara kuu. angalia hata hizo picha kaka
  18. Bintiwangara

    Kiwanja kinauzwaMil.5-MBEZI(unaweza kulipa kwa installment mbili)

    Kwa sasa serikali ndiyo ipo kwenye mradi wa kupima viwanja mpigi magoe, so ukinunua unapewa form na serikali ya mtaa , then wanakupimia. Kwa unakihitaji Ni ibox
  19. Bintiwangara

    Kiwanja kinauzwaMil.5-MBEZI(unaweza kulipa kwa installment mbili)

    makabe . hii unaingilia pale Mbezi high school. KWA YUSUPH , upande wa kulia kama unaenda kibamba kuna sehemu panaitwa mbezi KWA YUSUPH upande wa kulia kuna barabara inaenda MPIGI MAGOE. daladala za mpigi magoe zimeandikwa hivyohivyo Mpigi magoe. na za makabe zimeandikwa makabe. So...
Back
Top Bottom