Search results

  1. JAMIETZN

    Elections 2010 Makamba atinga jimboni Bumbuli leo na ufanya vikao vya siri.....

    Hapa na yeye atatoa kama ya Kubwa: Ame kwenda kumsaidia mtoto kifamilia na si kichama.....! Na fedha alizotoa si za kuhonga bali kuwasaidia wana kijiji wenzie.. Mwenye kesi ya Kuhonga atakuwa mwanae endapo atatoa fedha ili achaguliwe na si Mzee Makamba kwani yeye hagombei lolote pale..!!!
  2. JAMIETZN

    Kweli Pinda mtoto wa mkulima

    Hawezi kumla huyo kuku kabla wataalam hawajampigia kisomo !!
  3. JAMIETZN

    Kweli Pinda mtoto wa mkulima

    Mkuu nimecheka sana. Kama ulishaishi karibu na nyumba za hawa waheshimiwa utakubaliana na maneno red, Nakumbuka jirani yangu alikuwa wa kwanza kuletewa misamaki ile mikubwa na mboga mboga toka kwa wakulima wafungwa kwenye magereza. Hiyo nyumba huenda ni banda la nguruwe na kuku tu, Nyumba ya...
  4. JAMIETZN

    Ticket ya ndege bei nafuu

    Mkuu nenda Ofisi za ATC laki mbili unusu utapata. (250,000)
  5. JAMIETZN

    Mkuu wa Kaya ameoa mke mwingine?

    Mtu mwenye kupenda wana wake wengi hata awe paroko utamjua tu, kwani atatafuna hata waumini wake. Ni ngumu kuficha tabia aliyozoea tokea mwanzo.
  6. JAMIETZN

    Urgent: Gx100, Gx110 inaitajika

    Mkuu tafuta gari mapema, Kutokana na Budget ya mwaka ujao wa fedha kuwa juu, bei za magari zitapanda sana.Ukikosa hiyo nunua gari yoyote nzuri kabla mambo hayaja haribika.
  7. JAMIETZN

    Hivi hili litawezekana kama la kupiga kura ukiwa nje ya nchi hairuhusiwi?

    Nadhani kama kilamtanzania atakuwa na haki ya kuchangia pato la taifa awapo nje ya nchi mfano UK, USA na sehemu zingine, Ni vema na haki ya kupiga kura kipindi cha chaguzi zetu iwepo kwao kama baadhi ya wenzetu wafanyavyo. Inashangaza kuona kwamba kwa sisi watanzania haliwezekani bali kwa...
  8. JAMIETZN

    Ni ukweli mtupu Mshahara wa kima cha chini TUCTA wanaoutaka hautekelezeki

    Kwahiyo unarudi tena kwenye point ya Kuchagua kiongozi mwenye kuweza kufanya hivyo, Una maanisha nini unapozungumzia si kwa kutegemea Kodi ? Huyo kiongozi genius atakaye chaguliwa atatoa wapi hela za mishahara? Ge me a break mkuu, Nakwenda lala mama watoto ananisubiri, Nsha kwambia pumzika maana...
  9. JAMIETZN

    Ni ukweli mtupu Mshahara wa kima cha chini TUCTA wanaoutaka hautekelezeki

    Mkuu wewe si ndio umeleta hoja hapa endelea tu kuvimwaga na hivyo vyama 14. Unapo andaa thread hapa hakikisha una kuwa na kila data. Au umesahau kwamba na wewe ni Great thinker ? Ukikubaliana na ushauri wangu wa jana wa kupumzika na kuachana na thread hii utakuwa umejisaidia vizuri. Umepoteza...
  10. JAMIETZN

    Je huyu ni kiongozi gani wa ngazi ya juu ktk serikali ya Tanzania?

    Duh...Jioni njema, Halafu basi kuna miili ya kusimama kwenye Roof za magari, Hebu tazama utadhani mtu atoka kwenye shimo la choo. Hii nchi ina maudhi sana. <input id="gwProxy" type="hidden"><!--Session data--><input onclick="jsCall();" id="jsProxy" type="hidden">
  11. JAMIETZN

    Ni ukweli mtupu Mshahara wa kima cha chini TUCTA wanaoutaka hautekelezeki

    Huyu bwana aliyeleta hii thread nadhani hata haelewi anaongelea nini, Mara azungumzi Europe noma, Mara Tanzania, mara sijui Poland, Huchoki tu mkuu? Wacha kucopy Data za watu kwenye ma website kwani hata sisi tunaweza, Tupo hapa kujadiri matatizo ya watanzania sio Propaganda za Greece tokea...
  12. JAMIETZN

    Ni ukweli mtupu Mshahara wa kima cha chini TUCTA wanaoutaka hautekelezeki

    Mkuu wataka watanzania wafanye kazi gani, wacha kupiga kelele ugiriki ugiriki, tokea umepata hiyo new ya Greece hatunywi maji hapa. Soma posts za wanaume utaelewa, watengenezee watanzania mazingira ya kufanya kazi kama hawatafanya, Acheni propaganda zisizo na tija, Wataka watanzania wakalime juu...
  13. JAMIETZN

    Mama Terry yuko wapi?

    Nipo nae mkuu, Ila usitake kujua wapi !!
  14. JAMIETZN

    Aisha madinda

    Asante, Ushauri mzuri.
  15. JAMIETZN

    Aisha madinda

    MWINGINE HUYU !!! Swali hili lina husiana vipi na kupendana/ kutafutana ? Niliomba kufahamu ni kilicho msibu, kama mikasa mingine na si issue za kimapenzi.
  16. JAMIETZN

    Aisha madinda

    Mkuu/ dada yana nihusu kwa njia moja au nyingine, Mpenzi wa dance na mshabiki wa unenguaji wa dada au mdogo wangu Aisha, Nilitegemea busara sikutegemea kuona kiwango chako kidogo cha kujibu. Jifunze kutoku jibu kila hoja. Huwa na maanisha zaidi ya kuandika. Jamii Forum ni kubwa na ina watu...
  17. JAMIETZN

    Aisha madinda

    Salamuni !! Ndg. Kichwa cha habari cha husika. Kutokana na kutokupata news za Tanzania kwa wakati nimejikuta nikifungua Link moja ya Asha Baraka akifanyiwa mahojiano kuhusiana na uboreshaji wa Bendi ya Twanga Pepeta ndani ya you tube. Hongera Asha Baraka kwa hilo. Kilichoni fanya...
  18. JAMIETZN

    Aisha madinda

    Salamuni !! Ndg. Kichwa cha habari cha husika. Kutokana na kutokupata news za Tanzania kwa wakati nimejikuta nikifungua Link moja ya Asha Baraka akifanyiwa mahojiano kuhusiana na uboreshaji wa Bendi ya Twanga Pepeta ndani ya you tube. Hongera Asha Baraka kwa hilo. Kilichoni fanya kulitaja...
  19. JAMIETZN

    Hata wa "Mbagala" twastahili kupendwa!

    Mkuu si useme tu kuna wakina dada wanapenda viimbaji vidogo vya kiume ? wacha kuzunguka kaka..
Back
Top Bottom