Hivi hili litawezekana kama la kupiga kura ukiwa nje ya nchi hairuhusiwi?

Tongue blister

JF-Expert Member
Jun 19, 2009
362
11
Nime copy ilivyo toka Ippmedia: THE GUARDIAN.

Tanzanians in Diaspora are proposing a suitable mechanism of taxing Tanzanian investors and businesspeople living abroad in a spirited drive to boost up the country’s revenue-base.
This comes as reports say that the government is losing a lot of money in terms of taxes from investments and businesses owned by Tanzanians living abroad due to lack of a sophisticated formula to collect the revenue from its citizens abroad.
An association of Tanzanians living in the United States in collaboration with the government will next month organize a Diaspora meeting during which the Tanzania Revenue Authority (TRA) and other related institutions would be invited to study ways of collecting revenues from Diaspora Tanzanians.
“We expect to organize a big Diaspora meeting on July 1 up to 4, this year in the US. This time around, we have invited TRA so that they learn from their US counterparts how to collect taxes and other revenues from their citizens living outside,” said Alfred Mkunga, Country Director of Diaspora Council of Tanzanians in America (DICOTA), on the sideline of the second Diaspora stakeholders meeting organized by the Foreign Affairs and International Cooperation Ministry.
The focus of the Diaspora meeting scheduled for US, according to Mkunga, is to find out, among other issues, appropriate approach through which Tanzania Diaspora in different parts of the world could significantly contribute to the country’s development.
“Of course, discussions will take place in the US but what will come out of the meeting would be applied for Tanzanians living in different countries. I am sure, TRA and relevant government institutions will be exposed to formulas used by other countries in collecting revenues from their people living outside,” said the DICOTA director.
“The idea is to make sure that Tanzanians living inside and outside the country contribute to the development of the country…I believe, there are many Tanzanians in the US, UK and elsewhere in the world, who could make positive contributions in these endeavours,” he added.
Another leader of Tanzania Diaspora association in the United Kingdom, Emmanuel Tayali, mentioned lack of linkages between the government institutions and local Tanzania Diaspora, something which he said slows down the speed of contribution of Tanzanians living abroad.
There are a number of Tanzanians living outside, according to Tayali, who could immensely contribute to the country’s economy but they lack government support that could link them with national investment and business institutions.
“We have to do something to assist these local Diaspora in UK, US and other developed world, by linking them with organs like the Tanzania National Business Council (TNBC) and Tanzania Investment Centre (TIC),” said Tayali, adding: “Diaspora have great potential to support our country, but they lack linkages.”
The meeting also discussed the problem of lack of organisation amongst Tanzania Diaspora, a critical drawback in the realisation of meaningful contribution of Tanzanians living outside the country.
Head of Diaspora Desk in the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation, Bertha Somi, said the government is working out strategies in collaboration with Diaspora leaders in identifying Tanzanians living abroad, what they are doing, which cities and streets they live in.
“While the government is trying to organise them, Tanzanian Diaspora themselves currently living outside and ex-Diaspora should assist us in the identification process and coordination of their activities,” said Somi.
Opening the second Diaspora meeting, the Minister of Foreign Affairs and International Cooperation, Bernard Membe, reiterated the government commitment to engage the Diaspora in the country’s development processes.
In a speech read on his behalf by the ministry’s Permanent Secretary, Sazi Salula, the minister said the government would continue encouraging and assisting Tanzanians in the Diaspora to organize themselves in formal associations to facilitate contact and communication.
“In this context, the government is committed to support and facilitate their stay abroad as well as their return. We will continue to improve communication between the homeland and Tanzanians of the Diaspora,” said Membe.
Diaspora stakeholders yesterday proposed to the government, among other things, the speeding up of enactment of the act on dual citizenship, deploy professional commercial experts to its embassies abroad, improve banking processes, reduce costs of transferring money to Tanzania from abroad, in a quest to support Tanzania Diaspora and fast-track their contributions to the country’s economy.




SOURCE: THE GUARDIAN

Nakubaliana na kuunga mkono hilo , Ila swali langu ni ? Je kwanini watanzania hao hao waishio nje ya nchi ambao mnafikiria wanaweza kuchangia pato la Taifa wasipate uhuru wa kupiga kura na kumchagua Rais wa nchi wawapo huko majuu?
 
Nadhani kama kilamtanzania atakuwa na haki ya kuchangia pato la taifa awapo nje ya nchi mfano UK, USA na sehemu zingine, Ni vema na haki ya kupiga kura kipindi cha chaguzi zetu iwepo kwao kama baadhi ya wenzetu wafanyavyo.

Inashangaza kuona kwamba kwa sisi watanzania haliwezekani bali kwa wenzetu utakupa kipindi cha chaguzi wanakusanyika na kupiga kura kwenye ofisi za ubalozi wa nchi zao. Hili lina nipa wasi wasi ni kwanini Tanzania isiwe na mpango wa jinsi hii? Je kuna jambo gani lenye kuleta utata katika shughuli hii?
 
Isije ikawa namna nyingine ya kutuibia kupitia lope sided agreements in the guise of Tanzanian Diasporas. Kama hili linafanyika kwa nia njema basi tunashukuru Mungu lakini wasiwasi wangu ni kwamba yasije yakatupata yale ya Richmond, RITES, IPTL, ATCL, etc ambapo wakati yanakuja yalioneka kama ndo mkombozi wa matatizo yetu yote.
 
Isije ikawa namna nyingine ya kutuibia kupitia lope sided agreements in the guise of Tanzanian Diasporas. Kama hili linafanyika kwa nia njema basi tunashukuru Mungu lakini wasiwasi wangu ni kwamba yasije yakatupata yale ya Richmond, RITES, IPTL, ATCL, etc ambapo wakati yanakuja yalioneka kama ndo mkombozi wa matatizo yetu yote.


Hili linanipa mashaka sana. Nadhani hawajamaa huwa hawana hata aibu machoni mwao. Wanataka kujaribu kutunisha matumbo yao pasipo kuwanufaisha watanzania walio wengi. Kila mradi wenye kuanzishwa ni wenye kuwachuma watanzania. Tanzania hata wasaidiwe matirion ya shilingi,Bado kama hakuna udhibiti wa fedha itakuwa ni bure.

Hili la watu wa nje kuchangia Kodi ni jambo jema lakini je hao watu waliopo nje mnawathamini kwa kiwango gani? Najaribu kufikiri hili la haki kwa wote linge husishwa na upiga kura. Kwanini serikali iogope waliopo nje wasihusike katika upigaji kura? Kuna nini hapa?
 
Back
Top Bottom