Search results

  1. R

    Regia Mtema is No More!

    Pumzika kwa Amani mama!tuonane peponi , Amina!
  2. R

    Cool hp pro for sale

    Mimi nahitaji kununua, give me ur last price pls,
  3. R

    Rostam Aziz aachia ngazi CCM

    Hongera Nyingi sana! zimuendee Mzee Slaa Kwa kazi kubwa!
  4. R

    Dawa na njia mbadala ya kuotesha na kurutubisha nywele kwa wenye vipara...

    Hakuna dawa ya kuzuia Kipara, in kama kusema unatafuta dawa ya kuzuia Mvi zisiote.
  5. R

    Dkt. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

    Lakini, kutokana na maelezo huyu ndugu hakuwepo shambani, aliyekuwepo ni Mdogo wake mohamed, na aliachwa akilima shambani na treckta, sasa, haya maelezo ya njiani kuelekea hnyumbani aliyapata wapi? Hii habari mimi nilisikia kulikua na swala la mahusiano ya kimapenzi kati ya....... na......
  6. R

    If you really knew me,...

    Mi naona ni Mambo ya Allajji hayo!!!!!!!!!
  7. R

    TV Chaneli za Kulipia

    Wadau, Wa Tanzania wengi tunaumia sana na hizi TV za kulipia,Mwanzo kulikua na TV Burudani ofisi zake ziliku Maarifa House Mtaa wa Ohio, Wametokomea na hela za watu wametuachia ving'amuzi vyao. Ikaja GTV wao walikua pale Namanga watanzania wengi walinunua Ving'amuzi na Ma-dish nao...
  8. R

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Mdau, Hili kweli ni Tatizo kubwa kwa Taifa letu, kwanza nguvukazi kubwa inapotea,Pili resources zetu ni Haba hasa madawa na hospitals. Ajali za magari zinaongezeka kutokana na sababu kubwa moja. Siku hizi chanzo kikubwa cha kusafirisha mizigo na abiria ni barabara, Miaka ya nyuma Reli za TRC na...
  9. R

    Hi

    Karibu sana, hata mimi ni mpya! Tukaribihane kwenye Mauhondo!
  10. R

    Clouds FM yaishambulia JamiiForums

    Hiyo yote ni Njaa tu, watu wamekua vibaraka!
Back
Top Bottom