Search results

  1. JUKUMU

    Msaada tutani: Nitapata wapi soko la Mercury?

    Mtu anaandaliwa kichapo uhakika
  2. JUKUMU

    Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Hivi hakuna hata online TV imeweza kufanya matangazo ya moja kwa moja? Au wote wamepigwa spana? Chadema nayo inashindwa hata kuweka live tukio kama hili? Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
  3. JUKUMU

    Msaada: Jinsi ya kubadilisha browser

    Wakuu kwema, naomba mwenye kujua jinsi ya kubadili au kuweka option ya kuplay video hapa JamiiForums anisaidie. Mimi nikifungua inafungua kwa kutumia JF tu. Nataka niwe nafungulia browser nyingine tofauti na Jamiiforums. Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. JUKUMU

    Kuhusu kuweka pombe kali kwenye chupa za plastic

    Wakuu na wadau wote wa afya na mazingira nawapa salamu zangu. Bila kupoteza muda naomba nifupishe taarifa yangu isiwe kikwazo kwa wasomaji. Mosi, serekali yangu au ya Tanzania kwa ujumla nawapa pongezi kwa jitihada za kukataza pombe aina ya viroba ambayo ilikuwa inapatikana kiholela. Pamoja...
  5. JUKUMU

    Tafdhali TBS Fanyeni ukaguzi kwenye Bidhaa za ABORDER

    Kwa wale watumiaji na wauzaji wa bidhaa za aborder hasa TV, mtakuwa mashaidi hasa kwenye ubovu wa TV za aborder. Yaani mpaka sasa nina Tv mbili mbovu za hii kampuni, hata mwaka haujaisha zimekuwa mbovu. Nilifanya utaratibu wa kuwasiliana nao ila kwa majibu niliyopewa sikuona haja ya kuendelea...
  6. JUKUMU

    Natafuta mtama mweupe

    Wadau nawasalimu, pia natoa pole kwa tukio la ajali ya moto iliyotokea morogoro . Ninatafuta mtama mweupe aina gadam au Karim. Tafadhali mwenye nao au anayejua unakopatikana tuwasiliane ninahitaji kwa wingi sana.
  7. JUKUMU

    Rais Magufuli asema haridhishwi na utendaji kazi wa Benki ya Kilimo

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  8. JUKUMU

    Rais Magufuli asema haridhishwi na utendaji kazi wa Benki ya Kilimo

    Hii ya sasa ni kilimo kazi tu, ukipenda sema kilimo Pili.
  9. JUKUMU

    Waziri Mkuu Majaliwa: Viroba marufuku kuzalishwa wala kutumiwa kuanzia Machi 01, 2017

    Mkuu kwa standard za TBS ni zile zenye ujazo kuanzia 200ml na ziwe kwenye chupa.
  10. JUKUMU

    labda upole na ufahamu wetu ndio unatutesa

    Wana Jf niseme kwamba hali ilivyo sasa si nzuri kwa watu wengi, ila kwa upande mwingine watanzania kwa ujumla wetu tunaweza kuomba kukutana na mkuu wetu asikie kilio cha wengi kama alivyokuwa anaomba kura wakati wa kampeni. Alitoa ahadi nzuri na wengine tukasema mkombozi kaja, ila hali imekuwa...
  11. JUKUMU

    Taratibu za kufuata ili kupata TIN Number

    Mkuu me nipo salama, kuhusu hiyo TIN ni lazima ufanyiwe makadirio ya biashara unayoenda kufanya na mwisho wa siku utalipa hiyo pesa ili upewe Tin ya kufanya biashara husika. Watu wanachanganya private Tin(ambazo hulipi chochote na nahisi siku hizi wanaziondoa kimia kimia) na zile za biashara...
  12. JUKUMU

    Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Naona Kakobe na Gwajima ndani ya Mkutano
  13. JUKUMU

    CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

    Siasa ni mahesabu kijana, hata slaa na wengine wakisusa hakuna jipya maana wote walikuwa na wimbo mmoja tu, ufisadi. Na mbaya zaidi hawana wimbo mwingine hats slaa alikuwa anategemea ccm impe El ili aanze kutudanganya na wimbo wa ufisadi.
  14. JUKUMU

    Anahitajika kijana wa kuuza chipsi

    Mkuu ungeweka na malipo ni kiasi gani kwa siku au mwezi
  15. JUKUMU

    Subwoofer inauzwa

    mkuu ina muundo kama huu au ni tofauti.
  16. JUKUMU

    Subwoofer inauzwa

    Mkuu hebu ipige picha nione ikoje nipo interested.
  17. JUKUMU

    Ushauri: Wafanyabiashara, muda muafaka wa kuanzisha Bank yenu

    Mkuu hilo ni wazo zuri sana, naamini kama likifanyiwa kazi hakuna bank ambayo ingekuwa mbele kama hii. Huenda hata zile ambazo tayari zipo zingeyumba kiasi, imagine ni wafanyabiashara wangapi wanaotumia bank na hizo hela zinaenda kwa wengine. Kama kukawa na watu smart hili ni wazo zuri na lenye...
Back
Top Bottom