Natafuta mtama mweupe

JUKUMU

Member
Apr 5, 2009
76
31
Wadau nawasalimu, pia natoa pole kwa tukio la ajali ya moto iliyotokea morogoro .

Ninatafuta mtama mweupe aina gadam au Karim. Tafadhali mwenye nao au anayejua unakopatikana tuwasiliane ninahitaji kwa wingi sana.
 
Back
Top Bottom