Search results

  1. N

    Maoni ya Dr. Azaveli Lwaitama Juu ya Lowassa Kuingia UKAWA

    Dr umenena. Mungu akuaang'aze kutujuza zaidi na zaidi. Big up Dr.
  2. N

    CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

    Malaika akiingia ccm lazima atakuwa fisadi tu,shetani akiridhia sera ya CDM ambayo ndio mpango nzima wa watanganyika atasafishika tu.
  3. N

    Natamani sana Mtanange kati ya Mnyika na Zitto jimbo la Ubungo

    Hata musoma mjini kuna wachaga,hivi yule mbunge ni mchaga?
  4. N

    Wananchi kuwakataa Zitto Kabwe na Edward Lowassa

    Atueleza kwanza mwenye richmond na baadaye dowans ni nani na ali/meshafanya juhudi gani kuzuia huo uovu uliotendwa dhidi ya umma maskini wa tanzania.
  5. N

    Mkuu wa Mkoa Mwanza: Tumejipanga kinguvu na kifedha kuwang'oa wabunge wa CHADEMA

    Jamani nimeshawaomba mara nyingi CV ya mulongo,naomba tena mwenye nayo.
  6. N

    Kwa utaratibu uleule, Kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo awaambie vyanzo vya mapato ya Chama

    Huyo ndo mzalendo namba moja tz ambaye ana 8mil benk na chama hakina ruzuku,kazipata wapi na kama amekopa atalipaje . Watanzani tutafakari!
  7. N

    Tumedanganywa

    Hivi kweli membe xinamtosha?mwalimu mkuu wa watu slishamshauri mkuu wa kaya kabla hajateua yeyote apimwe kwanza uwezo wa utambuzi.
  8. N

    Kikwete hii ndiyo Turufu yako ya Mwisho!

    Uwezo huo hana kwa sasa hivi labda akishastaafu
  9. N

    Mkuu wa Mkoa Mwanza, Magesa Mulongo, anaishi MALAIKA HOTEL analipa 6M kwa mwezi

    Naomba cv ya magesa mulongo kwa aliyenayo.
  10. N

    Dr. Mengi Ashtushwa na taarifa za kuiangusha serikali ya Kikwete

    Taarifa ya hbr ITV saa mbili usiku huu Mengi ametoa hofu juu ya maisha yake.
  11. N

    Mbowe: Kikwete akijiongezea muda hatutakubali, nchi itawaka moto

    Hatutaki umwagaji wa damu na vilevile hatuko tayari kutawaliwa na kikwete baada ya ngwe yake itakapomalizika oktoba 2015,tumefukarishwa vya kutosha,tumedhihakiwa mno na tumefarakanishwa na huu utawala kupita kiasi.
  12. N

    Sitta awasimamisha Watendaji watano TRL

    Sita&co(ccm) wanatulaghai gawana lolote. Mbona aliyeleta hayo mabehewa hafikishwi mahakamani au kuwekwa kizuizini. Kwani ile sheria ya kuzuia wakora imeshafutwa?
  13. N

    Mbinu mpya za magaidi nchini na kauli tata ya Jeshi la Polisi

    Kwa tanzania ya awamu hii yawezekana kbs,mbona wezi wa escrow:wanashtakiwa sehemu tofauti wanasiasa na maafisa wa ikulu : tume ya maadili,maofisa wadogo mahakamani.
  14. N

    Mbinu mpya za magaidi nchini na kauli tata ya Jeshi la Polisi

    Ulicikia wapi mtuhumuwa wa kulipuwa mabomu akisafirishwa kwenda kuonyesha alikoficha mabomu anasindikizwa kama bwana harusi(rpc arusha anatangaza:mtuhumiwa akiwapiga kung fu polisi)
  15. N

    CHADEMA Yaahidiwa Fedha na Wanaharakati (Marekani): Masharti ya Fedha Yanatisha!

    Majuzi tu vasco da gama alikaa huko siku 20,naye alienda kushawishiwa aanzishe ushoga?
  16. N

    Press conference: Lowassa apelekewa ujumbe mzito

    Nafasi za udc na ubunge wa ikulu zimeshajazwa labda ujumbe wa kamati kuu ya chama cha mafisadi. Pole hoza
  17. N

    Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza

    Pasco tangu lini mtu mmoja akawa taasisi. Kwa taarifa tu act bila zzk ni genge la kijiweni,lkn cdm ni taasisi makini bila uwepo wa slaa, mbowe,lisu n.k
  18. N

    CHADEMA: Mwito wa Mwenyekiti Taifa - Alhamisi, tarehe 16/04/2015

    Unaijua nafasi ya Makene? Au unabwabwaja tu
Back
Top Bottom