sosoliso
JF-Expert Member
- May 6, 2009
- 8,539
- 9,465
Kamati ya bunge njooni huku
Hizo kamati zenyewe za bunge nazo ziko busy kuzurura na kutafuna mapesa.. Kuna ile moja ya Lembeli ilikuwa inazuru Afrika ya kusini na sehemu zake za vivutio, kisa wanajifunza utalii unafanywa vipi huko ilihali wanajua mwisho wao wa ubunge ni mwezi wa saba.. Alietuloga ameshakufa..