CHADEMA: Mwito wa Mwenyekiti Taifa - Alhamisi, tarehe 16/04/2015

ukiangalia vizuri asilimia tisini utakuta ni wachungaji.
Sipati picha sala ya ufunguzi wa kikao itakuwaje......
 
tulishasema tangu mwanzo , siasa si kama tamasha la music coco beach , kwamba madee akiimba akaja ally kiba mchezo umekwisha , la hasha ! siasa ni mipango na mikakati , safi sana cdm .
 
kumbe chama kimejaa vilaza, makene yule na kichwa kile afanye kazi makao makuu!?
Wewe ndio kilaza kwa sababu hata huwezi kutofautisha tangazo la chama kutoka kwenye kanda na tangazo linalohusu chama kitaifa. Sitokujibu tena kwani umeprove huna hoja wala uelewa wa chochote zaidi ya ushabiki usiotumia akili.
 
Mungu awajalie afya njema na semina iwe na mafanikio nabkuleta tija kwa chama na Taifa kwa ujumla......Mungu ibariki chadema na watu wake.
..................Mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom