Kwa hiyo diamond na sheta itakua kama OMMY dimpoz na diamond tena sasa na yeye sheta kwani hana kwake mpaka awe anaenda kushinda na mkewe kwa diamond wakati MKE wake amejazia kuliko zari
Kwenye biblia kuna MTU alikufa yesu akamfufua na watu wakaenda kumuuliza yule MTU akajibu yeye alikua hajui chochote ni kama alikua kwenye usingizi usio na ndoto
acha masikini tuwe wakimbizi kwenye nchi yetu wewe unaeshangilia hayajakukuta watu wamejenga nyumba ujanani wamemaliza uzeeni unaambiwa bomoa na kwa kwenda huna we unadhani utafurahi
kubomolea watu manyumba yao kunyima Uhuru vyama pinzani kufukuza watu kazini bila mpangilio kukataza tiba mbadala sasa hapo ni kuinua wananchi au kuwarudisha kwenye umasikini mtukufu
hawezi kupewa dhamana mpaka hela itoke SINGIDA ije hapo kishapu ndio apelekwe SINGIDA alipofunguliwa mashtaka na hata akipewa dhamana mtaliwa hela tu baada ya muda atakamatwa na atapelekwa singida
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.