Search results

  1. S

    Zoezi la kuondoa wahamiaji haramu na changamoto zake

    Napenda sana kuipongeza serikali yetu kwa juhudi zinazoendelea, kuhakikisha tatizo la wahamiaji haramu linapatiwa ufumbuzi makini. Lakini hata hivyo, zoezi hili linaweza kukabiliwa na changamoto zifuatazo: 1. Wahamiaji waliobaki, huwa wanakimbilia mafichoni, hasa vichakani na kushinda huko...
  2. S

    Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

    Mahyo waitu. Kasinge!!!
  3. S

    Utamaduni wa wahaya na kifo cha kanumba

    Umefafanua(wabitoitora) vema!
  4. S

    Biashara ya Uchawi Tanzania

    Mkuu Majimoto, ni kweli kwamba baadhi ya nyama zinazouzwa kwenye mabucha mengi ni za binadamu na walaji wanafanyiwa viinimacho tu ili wazione ni halisi?
  5. S

    Misamiati maarufu vyuo vikuu

    Kupata matango pori - kuingia chaka
  6. S

    Ubuntu unity: Your Opinions!

    Mkuu mimi nimependezwa sana na jinsi Unity 2D UI inavyofanya kazi on my Asus Eee PC T91MT tablet baada ya kuinstall hid mosart drivers for touchscreen!!!
  7. S

    Is QT Framework burning to the ground?

    Poleni na majukumu wanajamvi. Tunafahamu kuwa kabla ya kununuliwa na NOKIA, QT framework ilikuwa chini ya umiliki wa Torolltech ikiendelezwa na vijana talented kweli wanaojulikana kama 'Trolls'. Baada ya ununuzi, tumeshuhudia ushirikiano kati ya Intel na NOKIA ambao umezaa MeeGo, kukiwa na...
  8. S

    Msaada: Microsoft Reader!

    Mkuu nimedownload Calibre, nimei-install na nimeweza kubadilisha mafaili yangu kwenda kwenye format ya .lit, nimeyafungua kwa kutumia Microsoft Reader kwenye Tablet PC na kila kitu kwa sasa kipo sawa kabisa. Nashukuru sana.
  9. S

    Msaada: Microsoft Reader!

    Mkuu hii ni software inayosoma files zilizo kwenye format ya .lit pekee. Features zake zinarahisisha usomaji wa eBooks, iwe kwenye laptops desktops na hata Pocket PCs (PDAs). Kwenye Tablet PC nimeitumia ku-anotate, Ku-comment etc. kwa kutumia stylus, yaani ni kama unavyotumia Sony touch readers...
  10. S

    Msaada: Microsoft Reader!

    Heshima kwenu wakuu! Nimependezwa na utendaji kazi wa Microsoft Reader hasa baada ya kuijaribu kwenye Asus Eee PC T91MT Tablet Netbook. Text to speech na Clear Type ni baadhi ya features zinazovutia. Tatizo ni kwamba ni lazima mafaili yawe kwenye ".lit" format. Wakuu naomba kama kuna software...
  11. S

    Schoolux

    Poleni na majukumu Wakuu. Schoolux ni 'platform' ambayo bado ipo katika matengenezo, ya bure, itakayoendeshwa kutokea kwenye Live CDs na USBs yenye lengo la kumwezesha mtumiaji kujifunza mambo mbali mbali yahusuyo Web design, programming etc. Imegawanyika katika maeneo yafuatayo; - GNU/...
  12. S

    why so many terrorist have engineering degrees?

    Bila kumsahau Osama Bin Laden - who earned a degree in civil engineering from King Abdul Aziz University in Jeddah in 1979.
  13. S

    Siku yangu ya kwanza nilipoanza darasa la kwanza Primary School

    Enzi hizo za darasa la kwanza kuna mwanafunzi mwenzetu alikuwa mtoro sana. Hii ilipelekea huyo mwanafunzi kulamba mvua za bakora ingawa wakati anaendelea kuadhibiwa alichomoka mikononi mwa walimu na kutimua mbio hadi nyumbani kwao. Kesho yake akaja na baba yake amebebwa mabegani hadi kwenye...
  14. S

    Nisaidieni namna yakufuta kumbukumbu kwenye PC yangu

    Au kama vipi tumia opera 10 usb. Ni portable browser ambayo utakuwa nayo kwenye flash drive yako. Hai-modify registry ya pc yako, na hutakiwi kufuta mambo yako. Vile vile ina V8 turbo Engine inayoongeza speed kwenye slow connections mfano gprs etc.
  15. S

    Titles

    Kumbe huyu mheshimiwa ni 'FREEMASON'!? http://www.freemasonrytoday.com/33/p08.php
  16. S

    Jinsi nilivyounganishwa na dunia

    Yote yaliyonenwa yanaanza kutimia taratibu. Tutegemee mengi zaidi hata World War III kwani NWO/ Freemason hawana mchezo. Check hii link... http://www.threeworldwars.com/new-world-order.htm
  17. S

    'Nokia Booklet 3G' specs released

    Tumeshuhudia Intel/Nokia partnership ambapo simu za nokia zitatumia processors za Intel badala ya hizi za ARM11, ushirikiano kati ya Microsoft na Nokia wa kuwezesha MS Office 2010 kufanya kazi kwenye simu za Nokia E-series, Linux Maemo OS ambayo ita-replace S60, simu ya mkononi Nokia N900 Tablet...
  18. S

    Internet Telephony

    Simu yako inaweza kabisa, kwani mbali na kuwa ina Symbian OS 9.1 na SIP VoIP client, unaweza kudownload fring itakayokuwezesha kuwasiliana na yeyote mwenye fring (fring-fring calls), au hata kuwasiliana kwenye googletalk, yahoo, msn etc. via EDGE, WCDMA, au WiFi.
  19. S

    Internet Telephony

    Mkuu, mbali na fring unaweza pia kufanya VoIP calls kwa kutumia 'Nimbuzz' symbian version kwa wenye simu za Nokia, Samsung na Sonyericsson zenye Symbian OS. OS nyingine kama WinMO (Windows Mobile), Palm OS, Android etc. zinaweza pia. Nimejaribu 'fring' na 'nimbuzz' kwenye EDGE networks...
  20. S

    Mobile Phone software (S60)-Wanaotaka kuficha SMS

    Mkuu, umekuwa too general, S60 edition ipi?
Back
Top Bottom