Schoolux

Senghor

Member
Feb 22, 2009
34
0
Poleni na majukumu Wakuu.
Schoolux ni 'platform' ambayo bado ipo katika matengenezo, ya bure, itakayoendeshwa kutokea kwenye Live CDs na USBs yenye lengo la kumwezesha mtumiaji kujifunza mambo mbali mbali yahusuyo Web design, programming etc.

Imegawanyika katika maeneo yafuatayo;
- GNU/ Linux Operating system (Desktop) Slitaz 3.0
- World class web server Apache
- Award- winning Joomla 1.5.16
- Handpicked public available educational content related
to programming(PHP, Java and XHTML)

Bila shaka tunafahamu kuwa Slitaz ni OS ambayo ni ndogo, imara, ya kasi, ISO image yake ina ukubwa approx. 30MB na root filesystem inaweza kuchukua ukubwa approx. 100MB kwenye HDD. Inahitaji RAM 192MB na kushuka hadi 16MB kutegemea na method of installation. Hivyo kompyuta zenye RAM ndogo zitaweza kutumiwa bila matatizo.

Napenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha www.schoolux.org, tutengeneze timu kubwa ya developers tusaidie kukuza ICT ya Tanzania.

Naomba ushauri na maoni.
 
Mkuu,

From me good work, kwa kuanzia tu. Now I am a developer and an educator so tell me what can I do to make it happen. I am available.

Can I mirror the ISO? How do I get the ISO. I tried to look for it on the site but I could not see it. Let talk call me on +255715017701.
 
Back
Top Bottom