Msaada: Microsoft Reader! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Microsoft Reader!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Senghor, Oct 18, 2010.

 1. S

  Senghor Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heshima kwenu wakuu! Nimependezwa na utendaji kazi wa Microsoft Reader hasa baada ya kuijaribu kwenye Asus Eee PC T91MT Tablet Netbook. Text to speech na Clear Type ni baadhi ya features zinazovutia. Tatizo ni kwamba ni lazima mafaili yawe kwenye ".lit" format.

  Wakuu naomba kama kuna software ya kubadilisha mafaili ya pdf, ePub, word etc kwenda kwenye .lit, mnijuze!!!
   
 2. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mkuu Sijawahi iona na ninataka kuitumia...lakini labda sijakuelewa hii Microsoft Reader inas oma text?Right?au inasoma na kuconvert kwenda kwenye speech na kusave somewhere...na ili kufanya hivyo lazima file hizo ziwe kwenye format uliyo toa so unahitaji kupata converter..as I can help on that...!!!But kama ni kusoma tu text to speech ndio shida kuu...basi hata Pdf 9 pro inafanya the same as long as ni pdf format.
   
 3. S

  Senghor Member

  #3
  Oct 19, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu hii ni software inayosoma files zilizo kwenye format ya .lit pekee. Features zake zinarahisisha usomaji wa eBooks, iwe kwenye laptops desktops na hata Pocket PCs (PDAs). Kwenye Tablet PC nimeitumia ku-anotate, Ku-comment etc. kwa kutumia stylus, yaani ni kama unavyotumia Sony touch readers. Mojawapo ya utofauti wake na PDF reader, ni kwamba ina pia Clear Type Technology inayokufanya usome kwa raha mafaili yako kana kwamba unasoma kutoka kwenye karatasi halisi.

  Hizi ni features zake:
  Features

  Read about the features that make Microsoft Reader unique.
  ClearType
  Patented ClearType display technology revolutionizes on-screen reading.
  Bookmarks
  Add electronic bookmarks and use them in powerful ways. Improved Navigation
  Move easily with your keyboard, mouse, or stylus.
  Library
  Catalogue all your eBooks in your personalized "home page." Find
  Search for text in any eBook.
  Notes
  Add your own notes to any page. Font Size
  Create large-print eBooks with a single command.
  Drawings
  Create free-form drawings on your eBook pages. Rotate and Resize (Tablet and Windows Mobile)
  Take full advantage of your Tablet or Windows Mobile in either landscape or portrait modes.
  Annotations
  Store all your annotations in a single location. Pan and Zoom Graphics (Tablet PC and Windows Mobile)
  Zoom in to get a close-up view of graphics and pictures.
  Highlights
  Call attention to a word or a passage, and find it any time. Dictionary
  Look up words as you read.

  Utaipenda zaidi kama unatumia Tablet PC au Pocket PC.
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mi natumia calibre..nadhani inaweza kufanya hiyo conversion..ila sijui kama kitabu kama kitakuwa na features zote.
   
 5. S

  Senghor Member

  #5
  Oct 19, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu nimedownload Calibre, nimei-install na nimeweza kubadilisha mafaili yangu kwenda kwenye format ya .lit, nimeyafungua kwa kutumia Microsoft Reader kwenye Tablet PC na kila kitu kwa sasa kipo sawa kabisa. Nashukuru sana.
   
Loading...