Search results

  1. C

    Timu za Tanzania hazitofika mbali Kimataifa

    Azam kafungwa 3-0
  2. C

    Tundu Lissu:Hatukutumwa na wananchi bali tumejituma wenyewe kwa kujitungia sheria ya kuingia bungeni

    Tatizo langu kwa Tundu Lissu ile tabia yake ya kuona kila mtu anafanya makosa isipokuwa yeye tu.Anajifanya anajua sana sheria kuliko watu wote kumbe sivyo!! kwa mtu wa kijijini akimsikikiliza atamsifia sana kwa kunukuu vipengele na ibara mbalimbali sometime kimakosa. Kibaya zaidi mara zote...
  3. C

    Serikali kununua mgodi wa Tulawaka kwa USD 70mil

    Wadau Naomba niwaeleze ninachoelewa mimi kuhusu Tulawaka kwa sasa: Ni kwamba ABG wamesimamisha uzalishaji na wapo kwenye hatua za mwisho kurudisha mgodi serikalini kwa makubaliano ya kwamba serikali ihusike na mambo yote ya closure plan. Kama mdau wa sekta ya madini nitasitika sana...
  4. C

    Siasa na matajiri mkoa wa Mwanza

    Hivi GACHUMA KITWANGA MAWE MATATU DIALLO LAMECK KAIRO KISHIMBA MASHA ndio matajiri pekee wa Mwanza? Au ulilenga weusi? wapi Mwanza Huduma (Zulfikar Nanji), Gupta, Vic Fish hao ni moto wa kuotea mbali kwa taarifa.
  5. C

    Sikilizeni Hoja Yangu kuhusiana Ubunge na Udiwani

    Wana JF Nina hoja ndogo tu ila natoa angalizo ila sishabikii ukabila. Hoja yangu hii inawalenga hasa kwa watu wa kanda ya ziwa, hivi ni kwa nini nafasi za ubunge na udiwani zimechukuliwa na watu wa nje ya Kabila za kanda ya ziwa? Natoa mfano wa mkoa wa Mwanza, je hakuna msukuma yeyote...
  6. C

    Msafara wa Kikwete Brazil Kwenye Mkutano wa OGP

    Jamani kwa wanaofutilia ziara ya Kikwete Brazil kwenye Mkutano wa OGP hivi una wajumbe wangapi? hesabu Per Diem zao, hotel, etc, Na je nchi kama Marekaniimepeleka wajumbe wangapi katika Mkutano huo? Na je mkutano huo una Tija kwetu ktk hali mbaya tuliyonayo kiuchumi? Hivi kweli ytuna Open...
  7. C

    Hivi Mnajua Kocha wa Zambia Herve Renard aliomba Kuifundisha Taifa Stars - TFF Wakamkataa!!!

    Katika kumtafuta mrithi wa Marcio Maximo Kocha wa Zambia Herve Renard aliomba kuifundisha Taifa Stars lakini TFF wakasema hakidhi vigezo (hana qualification), ikabidi wamuajiri Poulsen. Tujiulize, je huyu Poulsen katufikisha wapi na huyu Herve Renard "the chosen one" au Mourinho wa Africa...
  8. C

    Miradi ya Umeme Mwanza-Kwa Nini Miradi Mingi Inahamishwa Kinyemela?

    Wana JF Kwenye Bunge la Mwaka jana Mh. Anna Kilango Malecela alilalamika sana kuhusu miradi ya umeme vijijini (REA) kupelekwa Sengerema wakati kuna baadhi ya wilaya hazina umeme! Kinachoendelea hivi sasa kuna mradi wa MCC umeanzia tena Sengerema na baadae ndio makandarasi hao ndio wahamie...
  9. C

    Jengo la NAO Morogogo

    Wana JF. Jana Mheshimiwa JK kafungua jengo jipya la NAO mjini Morogoro. Katika maelezo yaliyotolewa na CAG gharama za ujenzi wa jengo hilo ni Tsh 161m, source Nipashe ya leo. Nimefurahi na gharama zake za ujenzi. Iweje majengo ya taasisi zingine yenye hadhi kama jengo hilo yagharimu mabilioni...
  10. C

    Naomba e mail address ya mh L Nyarandu

    Nyingine ni nyalanduupepoumeme@gmail.com, just a joke! Ila tujiulize unaitaka email yake kwa lipi? Nenda ofisini kwake. Masuala ya biashara mtafute personal siyo kuweka kwenye jf.
  11. C

    CHAD 1 - 2 Taifa Stars: Tanzania Kidedea!

    List ya poulsen aliyotoa kabla ya mechi ni tofauti na wanaocheza ni tofauti. Samata wapi?
  12. C

    CHAD 1 - 2 Taifa Stars: Tanzania Kidedea!

    dk ya 70 bado 1-1
  13. C

    Mabinti wa Presidaa M7 we acha tu!

    Unaposema huyu ya JK anafanana naye kila kitu una maana gani? Sura au na matendo pia? Naye anapenda kusafiri nje ya nchi mara kwa mara? Mie nadhani kwa sura tu.Huyu binti wa JK namkubali, hana makuu, yupo so quiet, siyo kama pedeshee Riz! Matangazao kila kona!
  14. C

    Tujiulize: Kwa nini JK alitaka Masha ashinde Ubunge?

    Nimeshindwa kupata jibu, naomba wana JF mnisaidie ni kwa nini mheshimiwa JK alitaka Masha ashinde ubunge? Nguvu na ushawishi aliyotumia mheshimiwa JK kumnusuru Masha ni kubwa sana, nadhani amekuwa favoured ktk kumnadi Masha kuliko wagombea wote wa CCM.
  15. C

    Elections 2010 Mza polisi warusha mabomu kutawanya watu

    Hivi mkwere na masha wana ubia gani? mkwere amekuja mza zaidi ya mara nne katika kipindi cha kampeni. Tena leo kaja mza kufanya nini? ku-facilitate uchakachuaji? Big shame to JK!
  16. C

    Elections 2010 Mza polisi warusha mabomu kutawanya watu

    Malunde, umemua kukimbia nchi?
  17. C

    Elections 2010 Mza polisi warusha mabomu kutawanya watu

    Jamani hebu angalieni Star TV live coverage, polisi warusha mabomu kutawanya watu pale ofisi za jiji. Kisa? matokeo kucheleweshwa, nyamagana na ilemela
  18. C

    Florian Kaijage apigwa chini TFF

    Shirikisho La Mpira wa Miguu nchini (TFF) limemsimamisha kazi afisa habari wake, Florian Kaijage (pichani) kutokana na fedheha ya kushindwa kutimiza itifaki muhimu ya kupiga nyimbo za taifa wakati wa mechi ya Taifa Stars na Morocco jumamosi jijini. Rais wa TFF, Leodegar Tenga amewaambia...
  19. C

    Nyimbo za taifa zagoma tena mbele ya rais!

    Wa Tz tunapenda vitu vya bei rahisi, unaweza kukuta CD ni ya mchina na imechomwa unategemea nini?
Back
Top Bottom