Elections 2010 Mza polisi warusha mabomu kutawanya watu

chibingo

Member
Feb 7, 2009
46
8
Jamani hebu angalieni Star TV live coverage, polisi warusha mabomu kutawanya watu pale ofisi za jiji. Kisa? matokeo kucheleweshwa, nyamagana na ilemela
 
Hii nguvu ni ya nini?

Matokeo tunajua yameshajuliakana, tunataka tu msimamizi a-declee kuachishwa kazi kwa baadhi ya watu!!! Period!!
 
Mkwere aka mbayuwayu ameenda mwanza kusaidia kuchakachua matokeo yaani huyu mbayuwayu hana hata aibu kabisa
 
Hivi mkwere na masha wana ubia gani? mkwere amekuja mza zaidi ya mara nne katika kipindi cha kampeni. Tena leo kaja mza kufanya nini? ku-facilitate uchakachuaji?
Big shame to JK!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom