Hiki kipindi kinakera kiko kishabiki sana.
Mimi mtu wa simba siwezi kukisikiliza pia Radio ya Times Fm nayo vile vile. Wachambuzi wetu wa soka wako kishabiki sana hawatupi upembuzi wa kimsingi kama wa ulaya.
Sijui elimu au unazi
Upinzani ni mhm kwa nchi kama yetu kuelekeza pale serikali inapokosea lakini upinzani wa kupinga kila dhana ni tatizo. Jana lissu kasema watu wanatumbuliwa ovyo hivi mtu kama mkurugenz wa tic utaachaje kumtumbua kama kweli aliona mshahara mdogo kwa nini asingejiondoa kazini. Wapinzani hawa hawa...
The way msigwa alivyowakilisha hoja yake. Bunge kuonyeshwa live mhm kwa taifa lakini kama wapinzani wawe ba msimamo bhana. Kipindi kile jk walimfanyia timbwili sana tu
Me sijakataa bunge kuoneshwa live .....lakini upinzani wajenge hoja bila kuanza kukumbuka na kulilia. Siku zote hoja hushinda badala ya kuanza kulia lia
Akichangia bungeni alitamka bila kuficha awamu hii ya tano inataka kuminya uhuru wa habari wakati awamu ya nne ilikuwa jasiri na kurusha live bunge tunamkumbuka jk kwa kuwa jasiri wa uhuru wa habari.....
Ilibidi nicheke....leo mnamkumbuka tena. Wakati jamaa alikuwa anawasigina mkatoka bungeni...
Hivi upinzani msimamo wao ni upi? Kuanza kumkumbuka Kikwete mapema hivi ni kujichimbia kaburi.
Msigwa kuanza kumsifia Kikwete bungeni inanipa picha kuwa upinzani unakufa mbele ya Magufuli. Mnashindwa kujenga hoja, mangapi Kikwete mlimsema leo tena mnamkumbuka. Upinzani ovyo kabisa hamna...
RAIS MAGUFULI ENDELEA HIVI HIV KILA MTU APATE PESA HALALI NAAMINI KABISA UKIUZA DUKA OESA UNAYOIPATA UKAIPANGIA MATUMIZI YANAYOFAAA UTAISHI VZR TU. WATU WALIKUWA WANAFANYA KUFURU TULIKUWA TUNAELEKEA KUBAYA.....SERIKALI INGESHINDWA KUFANYA MAENDELEO KISA WATU WANAPESA NA KUONEA WATU OVYO MTAANI
Magufuli endelea hivyo hivyo ndio maana hata wageni walikuwa wanakimbilia tanzania kwa sbb ya chepeast life....tujitume tubuni pesa halali. Fanya kazi pesa ukiipata ipange kwa matumiz sahihi. Ndio maana ulaya maisha magumu si marahisi kama unavyofikiri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.