Kipindi cha michezo radio E-Fm kiitwacho Sports Head Quarters kinakera

Kisendi

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
699
178
Hiki kipindi kinakera kiko kishabiki sana.

Mimi mtu wa simba siwezi kukisikiliza pia Radio ya Times Fm nayo vile vile. Wachambuzi wetu wa soka wako kishabiki sana hawatupi upembuzi wa kimsingi kama wa ulaya.

Sijui elimu au unazi
 
Umetumwa wewe
 
Duh! Mkuu nina wasiwasi na ww kabisa. Yaani wakija wakasema umetumwa sitasita kukubali. Kile kipindi ni kizuri xana na sijaona ubaya wake. Na kila siku lazima nisikilize hiki kipindi.
Umesema mtu wa Simba hawezi kusikiliza, inaweza kuwa kweli maana wamechambua sana matatizo yanayoikumba Simba kwa kipindi hiki bila ubaguzi. Sema tatzo la watanzania wengi huwa hawapendi kuambiwa ukweli.
 
hakuna kama sports head quarter ya radio E fm hapa tanzania kwa upande wa michezo, wana magwiji waliobobea katika uchambuzi wa habari za michezo kuanzia hapa nyumban mpaka njee ya nchi, nadhani chuki yako inatokana matatizo ya kisaikolojia ya simba kufanya vibaya, pale yupo Ibrahim Masud Maestro ambaye ni shabiki wa simba na kwenye kuichambua simba wala haweki mapenzi ya ushabiki
 
Hiki kipindi kinakera kiko kishabiki sana.

Mimi mtu wa simba siwezi kukisikiliza pia Radio ya Times Fm nayo vile vile. Wachambuzi wetu wa soka wako kishabiki sana hawatupi upembuzi wa kimsingi kama wa ulaya.

Sijui elimu au unazi
Pole sana Evans Aveva
 
Back
Top Bottom