Search results

  1. tunduruboy

    Wabunge Tanzania wapigana misri

    *Mbunge wa jimbo la Singida Magharibi kwa kupitia chama cha mapinduzi Ndugu Elibariki Emmanuel Kingu Leo amepigana na mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar katika jimbo la Mfenesini Ndugu Othman Said Machano Cairo Misri. Fedhehea hiyo ya nchi imetokea katika hoteli ya Radisson mjini Cairo...
  2. tunduruboy

    Jalada la kesi ya mbunge Joseph Mbilinyi (Sugu) wa Mbeya mjini latua kwa DPP

    JALADA la Kesi inayomkabili Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (CHADEMA), limefikishwa katika Ofisi ya Mwanasheria wa Serikali. Mbilinyi maarufu kwa jina la ‘Sugu', anadaiwa kumjeruhi askari wa Bunge katika vurugu zilizotokea Bungeni mwishoni mwa wiki iliyopita. Kwa mujibu wa...
  3. tunduruboy

    Translator in Tz

    I would like to advertise to the willing people that i offer transillation of documents from swahili to english or english to swahili interested persons contact 0752-873-640
  4. tunduruboy

    Watuhumiwa wa mlipuko wa bomu Arusha waachiwa huru

    WATU watatu waliokuwa wakishikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha kwa tuhuma za urushaji bomu katika mkutano wa kufunga kampeni za udiwani wa CHADEMA, Juni 15 eneo la Soweto wameachiwa. Akizungumza na Tanzania Daima jana, kwa njia ya simu, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus...
  5. tunduruboy

    Hofu yatada tena Mtwara

    HALI ya wasiwasi kwa wananchi wa Manispaaya Mtwara, Mkindani, imeanza tena baada ya jana kusambaa kwa ujumbe kwenye simuza mkononi unaowataka wakazi hao kufanya shughuli zao hadi kesho na keshokutwa hawatakiwi kufanya kazi zozote. Ujumbe huo ambao umesambazwa kwenye simu zamkononi, unalenga...
  6. tunduruboy

    JK: mnaotaka Urais anzeni kupitapita

    Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete*Awataka wafanyemchakato wao bila kuvuruga chama *Awashushua wanaokachamajimbo na kuwanunia wenzao *Wabunge wamtaka awang'oemawaziri watatu ‘mizigo' MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Rais Jakaya Kikwete amefungua milango kwa kuwataka baadhi ya...
  7. tunduruboy

    Halima Mdee amlipua Chenge

    • Asema hakuitendea nchi haki kwenye mikataba MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA)amemlipua Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa zamani, Andrew Chenge, akisema kuwa alishiriki kwenye mikataba ya madini, lakini hakuitendea haki nchi yake. Halima alitoa madai hayo jana mjini hapakatika semina...
  8. tunduruboy

    Zitto, Mnyika wapasua Bunge

    WABUNGE wa CHADEMA; Zitto Kabwe (KigomaKaskazini) na John Mnyika (Ubungo), wame wachochea wabunge wenzao wasihudhuriesemina iliyoandaliwa leo na Wizara ya Nishati na Madini. Sababu waliyoitoa wabunge hao juu ya ushawishi huo ni kuwa serikali imeanza ugawaji wa vitalu vipya vya mafuta na gesi...
  9. tunduruboy

    Dk Mwakyembe, Serukamba vitani

    Waziri waUchukuzi Dk Harrison Mwakyembe Kutokana na hali hiyo, hotuba iliyokuwaisomwe na Serukamba kama maoni ya kamati baada ya Dk Mwakyembe kuwasilishahotuba yake, ilibadilishwa dakika za mwisho na kusainiwa na Makamu Mwenyekitiwa Kamati hiyo, Profesa Juma Kapuya. Dodoma.Waziri wa...
  10. tunduruboy

    CHADEMA: NEC inataka kuvuruga uchaguzi

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeilalamikiaTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kwamba ina mikakati ya kuvuruga uchaguzi mdogowa madiwani na ubunge unaotarajiwa kufanyika Juni 16, mwaka huu. Uchaguzi huoutahusisha kata 26. Mkurugenzi wa Kampeni na Uchaguzi wa chama hicho...
  11. tunduruboy

    Jaji Werema hawatendei Haki watanzania

    WANANCHI wamekuwa na wasiwasi na hawaelewi kwa niniMwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Werema alitaka baadhi yamapendekezo ya taarifa kuhusu vigogo walioficha mabilioni ya fedha kwenyeakaunti za nje ya nchi ikiwemo Uswisi yaondolewe. Kitendo cha serikali kubadili maazimio takriban...
  12. tunduruboy

    Ponda alipuka-maisha ya gerezani

    *Asema mkakati wa kukamatwa kwake uliandaliwa Sheikh Ponda Issa Ponda SIKU moja baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mjini Dares Salaam, kumwachia na kumweka chini ya uangalizi wa mwaka mmoja Katibu Mkuuwa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda,jana aliibuka na...
  13. tunduruboy

    Hujuma za CCM zavuja

    MBINU za baadhi yavigogo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kukihujumu Chama cha Demokrasia naMaendeleo (CHADEMA), zimezidi kuvuja baada ya kada waliyetaka kumrubuni awapesiri kuwatolea nje. Kada wa CHADEMA anayewindwa kununuliwa kwagharama yoyote ni Ben Saanane, ambaye baadhi ya vijana wawili...
  14. tunduruboy

    Wassira, ninamleta kwako Abasalom Kibanda

    WASIFU wa watu wakubwa hutolewa na watu wadogo. Kiongozianapochaguliwa wasifu wake huandikwa au kusomwa na watu walio chini yake, iliwaliomchangua kuwaongoza ambao ni watu wadogo kwake, wamfahamu vema. Huu ni utaratibuwa kawaida kabisa na unatumika karibu duniani kote. Ndivyo ilivyokuwa...
  15. tunduruboy

    Tembo kumalizika miaka saba ijayo

    BUNGElimeelezwa kuwa ifikapo mwaka 2020 tembo watakuwa wametoweka nchini iwapo kasiya ujangili wa wanyama hao itaendelea bila kudhibitiwa. Kwa sasa idadi ya tembo imeelezwa kupunguakutoka 109,000 mwaka 2009 na kufikia 70,000 mwaka jana, hali ambayo inachangiwana...
  16. tunduruboy

    Kigwangallah matatani kwa tuhuma za ufisadi

    MBUNGE wa Nzega, Dk.Hamisi Kigwangalla (CCM), anadaiwa kuliibia taifa kwa kutumia vibayamisamaha ya kodi ya mamilioni ya shilingi kwa ajili ya ujenzi wa chuo cha afyaeneo la Uchama, wilaya ya Nzega. Kwa mujibu wa nyaraka ambazo Tanzania DaimaJumatano...
  17. tunduruboy

    Zitto, Lissu, Mnyika Walinusuru Bunge

    MIONGOZO mitatu iliyoombwa na wabunge, Zitto Kabwe, Tundu Lissu na John Mnyika, jana asubuhi ilisababisha Bunge kuahirishwa kwa muda kuiptisha bajeti ya Wizara ya Maji iliyowasilishwa bungeni wiki iliyopita na Profesa Jumanne Maghembe. Kizazaa hicho kilitokana na hatua ya Waziri wa Fedha na...
  18. tunduruboy

    Mbunge CCM: Nasakamwa kwa sababu ya Lowassa

    MBUNGE wa Mwibara, KangiLugola (CCM) amefichua siri ya sababu ya Kamati ya Wabunge wa Chama ChaMapinduzi (CCM) kuwaweka kitimoto yeye na Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe. Akizungumza katika mahojiano maalumu na gazetihili, Lugola alisema sababu ya kibano alichopata ndani ya CCM ni kutokana...
  19. tunduruboy

    CUF yahusishwa na vurugu za Liwale

    MBUNGE wa Liwale, FaithMitambo (CCM), amekishutumu Chama Cha Wananchi (CUF) kwamba ndicho kilichoasisivurugu zilizotokea jimboni kwake. Mbunge huyo pia alilaumu Jeshi la Polisi kwakushindwa kuchukua hatua za haraka kudhibiti machafuko hayo na badala yakekuwaacha wafuasi wa chama hicho kufanya...
  20. tunduruboy

    Serikali yahaha kusaka bilioni 200/- kujinasua

    • Serikali yahaha kusaka bilioni 200/- kujinasua na Martin Malera, Dodoma WABUNGE wamepanga kuisulubu Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kwa kukwamisha bajeti ya Wizara ya Maji kama haitakuwa na dhamira ya kupunguza au kuondoa tatizo la maji, Tanzania Daima limebaini. Uchunguzi...
Back
Top Bottom