Search results

  1. Tambikeni

    Sasa imekuwa kero, amewahadithia marafiki zake kuwa najua mapenzi

    Pole kamwambukize na mkeo ili mtese watoto huku duniani.
  2. Tambikeni

    Msaada tafsiri ya hii ndoto

    unaonywa kutojihusisha na mapenzi kiholela unaweza kupata tatizo kwenye hayo mapenzi. kuwa makini na mahusiano yako kwa sasa waweza pata gonjwa baya au mpenzi jini.
  3. Tambikeni

    Maalim Seif tulikuambia achana na Lowassa, hukusikia!

    Dah makala yako imependelea sana haina usawa hata kidogo pole kwa kufanya siasa ya kimahaba.
  4. Tambikeni

    Mzee Mengi na Jacqueline maisha ni motomoto,wakubwa wanafaidi

    kuna umri ukifika tunapaswa kukubali kuwa baadhi ya mambo yapite tu japo fedha zipo zisikutese nyonga zitakushtaki.
  5. Tambikeni

    Hivi kwanini maskini vijijini hawathaminiwi?

    Ukianzia tu huduma za maji, umeme, makazi bora, afya na makundi yenye mahitaji maalumu kama wanawake, watoto, na walemavu. Sikutegemea kama hadi leo kuna vijiji visivyo na miundombinu ya maji japo vyanzo vya maji vipo. Wafanyakazi wa serikali waliopo huko ni wale waliotoka kwenye familia duni...
  6. Tambikeni

    Kwa Prof Muhongo na Mwakyembe, Rais Kateleza kuwateua kwenye Baraza

    kwahiyo kingereza ndo uthibitisho wa kiwango chako cha elimu? wewe Lowassa ndo kipimo chako kuwa hakuna mchafu zaidi yake? hiyo chuki unayoizungumzia ni tofauti na hii yako kwa Lowassa? kama unawaona wasafi usiwalinganishe toa facts za usafi wao. huko bandalini tangu rais aingie madarakani...
  7. Tambikeni

    Kwa Prof Muhongo na Mwakyembe, Rais Kateleza kuwateua kwenye Baraza

    Wizara ambazo Rais amezikuta taabani kwa ufisadi hasa za uchukuzi na nishati na madini mawaziri watatu waliokuwepo wamerudishwa kuwa mawaziri. Tz haina watu wengine? au mheshimiwa Rais amejiridhisha kwa vigezo gani? ngoja tuone pengine chini yake watakuwa malaika kwa vigezo vyake.
  8. Tambikeni

    Mrejesho wa mama Neema. Je, nichukue milioni tano au niache?

    hicho ndicho ulichotaka wewe chukua lakini kubali kwa ndoa ya watatu. hiyo ni mahali hawezi kumwacha ng'ooooooo!
  9. Tambikeni

    Kwa Prof Muhongo na Mwakyembe, Rais Kateleza kuwateua kwenye Baraza

    Duh! Raaha tupu wapo wasubiri vifo na wanaoishi bila kufikiri kama kuna kufa. Maisha ya namna hiyo yataendelea nchi hii hadi kurudi kwa Yesu. Mungu ibariki Tz,Mungu wabariki wawekezaji wa ndani kwenye vitalu vya gesi na mzee wa facts na details in figures. terms and conditions to be observed.
  10. Tambikeni

    Ushauri: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

    kwani husomi vizuri kuwa hata huyo X ni mume wa mtu? unamwona mdada tu?
  11. Tambikeni

    Ushauri: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

    hakuna asiye malaya Mgirik kuwa mstaarabu kilichokufanya usome post hii nini? jokes usikasirike
  12. Tambikeni

    Ushauri: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

    usiogope kabisa hayo mambo yapo kwenye ndoa wanaume wengi tunalea watoto wasio wetu we kaa kimya huyo jamaa mwambie kweli mtoto ni wako ila nusuru ndoa yangu. mapenzi ni yenu nyie wawili hicho kiumbe kimetokea tu kama anahamu mpe kama kawa mumeo asijue na huyo x wako awe msaada wa kuitunza ndoa...
  13. Tambikeni

    Kikwete kushika fagio Chalinze, wengine vipi? Tupeane updates za hili zoezi

    Mi ningeunga mkono vizuri zaidi kama leo ingekuwa siku ya kufurahia uhuru na siyo kufanya kazi kama tulianza tr 2 leo tr 9 bado tu uchafu haujaisha? basi walikuwa hawafanyi usafi wakisubiri leo pale katikati ya makao makuu ya mkoa wa Kilimanjaro hapahitaji mtu wa kufanya usafi leo coz pasafi...
  14. Tambikeni

    Uchaguzi wa serikali za mtaa: Wakurugenzi watano wafukuzwa kazi

    Hasira za kupoteza vijiji na mitaa. Fool again. UKAWA never told CCM that the love with local gvt leaders cold end.
  15. Tambikeni

    Ndalichako awa Profesa

    nimefurahi sana kwa hii taarifa coz nilikuwa najiuliza huyu mama wamemtoa pale yuko wapi? kumbe karudi kazini kusikochunguzwa kwa majungu hongera mama yangu. thanks Logician Mkuu.
  16. Tambikeni

    Hp compaq window actvetor.

    this copy of window is not genuine. am using window7 premium. also after clicking CAPS LOCK burton displays dialog HP
  17. Tambikeni

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Ahsante sana mkuu kwa msaada wa bure Mungu akubariki Fadhili.
  18. Tambikeni

    In Edward Lowassa, I trust...

    amekuhonga wewe ushaid unao? Kama ccm ikipita 2015 bac bora huyo kuliko type ya akina cta, kinene, na wengine wabovbov kama wa zamani ya sasa.
  19. Tambikeni

    Mpinzani Mpya wa Mwigulu apatikana

    Kila mtu anayeamua kufanya jambo anajiamini kuwa anao uwezo kwani huyo mbunge wa sasa anauwezo gani kama sio chama kilimbeba na sent zileee! Za kapu la bibi? Acheni ushabiki wa kinaa huyo jamaa aende akishindwa anajipanga awamu nyingine atapita tu he is stil young man.
Back
Top Bottom