wispa
Member
- Dec 3, 2012
- 49
- 43
funguo inayofungua kufuli nyingi inaitwa MASTER KEY..lakini kufuli inayofunguliwa na funguo nyingi ni USELESS
Hii mitazamo watu wameicreate ili kufanya cheating kwa mwanaume ionekane kitu cha kawaida, trust me hakuna justification yoyote ya kuhalalisha cheating iwe kwa me wala ke, uzinzi ni dhambi hata vitabu vya dini vinakataza, hakuna jinsia iliyoruhusiwa kuzini