Search results

  1. abaa4all

    Tuambie Mechi yako Bora zaidi ya soka ambayo umewahi kuishuhudia

    Brazil vs Italy 1970 in Mexico hii nilishuhudia uwanjani mwenyewe and was my first World cup to attend jamani hii mechi pele kafanya kazi ,sijawah kuona balaa lile tena , Brazil alikuwa na watu dah miaka imekwenda. Rip Pele
  2. abaa4all

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Uwanjani watu hawachezi na bangi
  3. abaa4all

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Uzi huu jamn mods mmeufanya nn
  4. abaa4all

    Nimesikitishwa na Habari ya Watanzania Kupendelea Parachichi za Burundi Kuliko za Tanzania. Watafiti Wetu Mnafeli Wapi?

    Embe Bongwa sasa hivi zimeadimika, aisee ile embe ni chachu sijawah kuona
  5. abaa4all

    Hali ya wakulima wa Vanilla inatisha Kyerwa, Karagwe na Bukoba Vijijini

    Mtafuteni vanilla international awauzie kilo moja kwa milioni Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  6. abaa4all

    Msimamo wa Ligi ya Baridi Tanzania

    Tukuyu 7 Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  7. abaa4all

    Msimamo wa Ligi ya Baridi Tanzania

    Makete anaelekea kuchukua ubingwa kwa unbeaten half atakwenda Kwenye World Cup ya barid kushindana na Russia na wengine Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  8. abaa4all

    Msimamo wa Ligi ya Baridi Tanzania

    Watu wa Makambako watuwekee msimamo inasoma ngap Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  9. abaa4all

    Msimamo wa Ligi ya Baridi Tanzania

    Inasoma ngap ? Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  10. abaa4all

    Msimamo wa Ligi ya Baridi Tanzania

    Habari, Leo ndio msimamo wetu unaonyesha hov Makete 9 Njombe 11 Mbeya 13 Iringa 14 Arusha 18 Bado tunafatilia maeneo ya katesh manyara Nb:vipimo vipo kwa degree centigrade Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  11. abaa4all

    Diplomatic Cars

    Habari Wanajamvi, Naomba kufahamu magari ya heshima ambayo ukiendesha unaonekana ni diplomats au mtu wa heshima. NB: Kuna gari ukiendesha tu unaonekana muhuni
  12. abaa4all

    Wanawake wana siri nyingi sana

    Hii aya mbona umeikosea kuandik kiarabu chake
  13. abaa4all

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Here we go
  14. abaa4all

    Je, endapo Jua likimwagiwa Maji nini kitatokea?

    Nenda kwanza kamwagie maji JuaKali yule msanii ili tuone yeye ataongezeka kiasi gan
  15. abaa4all

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    SIKU YA MOJA KABLA YA UHURU 1961 -12-08. MZUNGU ALIWA KIMASIHARA Wanangu na wajukuu zangu hii nchi tumepigana kwa mengi ili tupate uhuru hivyo msiuchezee kabisa, Sisi tumekula kiasihara kwa faida yenu vizazi hivi. Ilikuwaje ....nikiwa na umri wa ujana miaka 19 Nilipata bahati ya kuwa mmoja wa...
  16. abaa4all

    Rais wa Chile anusurika kuondolewa madarakani

    jamani jamani nimeweza hukuuu
  17. abaa4all

    Rais wa Chile anusurika kuondolewa madarakani

    [colour=red]Nimeweza
  18. abaa4all

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Mkuu msg yako uliyokuwa unpata na hii alioinyesha ni tofaut Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom