Search results

  1. nessonlegend

    Mbao ya mkongolosi na mtunduru ipi bora zaidi kwa milango?

    Miti yote migumu ni mizuri, Ila mninga ni kiboko.
  2. nessonlegend

    Aina mpya ya ushirikina

    Duh kweli ni ushirikina halali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. nessonlegend

    Zama za Kilimanjaro Express zimeisha

    Ngorika lipo siku hizi. Nakumbuka safari ya Kwanza toka dar to Moshi nilipanda basi linaitwa MBAZI sijui. Kwa kweli nilijuuuuuuuuuta, ndani gari ni siti 3 Kwa 2 afu ni zinabana miguu kama mtu ni mrefu nilijikuta nimekaa kupande toka dar mpaka nashuka moshi Kwa kweli nilijuta sana lile gari.
  4. nessonlegend

    Siri: Kiini cha mgogoro unaofukuta ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde

    Mleta mada ww ni miongoni mwa zoazoa mnaoharibu JF. Kitu kama umekopi na kupest onyesha upande uliopo.
  5. nessonlegend

    Majibu ya Sugu "Tumewajibu kwa mimba"

    Bro wangu wa kitaa, mbunge wangu. Big up Sugu.
  6. nessonlegend

    Nini hukumu ya Muislamu kusherekea siku ya wapendanao- Valentine day?

    Kama Allah ana nguvu si aipiganie dini yake, mi nadhani kila mmoja ashike hamsini zake, akienda jahanamu wewe kinakuuma nn.
  7. nessonlegend

    SoC01 Nilivyotengeneza kipato kwa mtaji wa Tsh 50,000 tu

    UONGO. Unataka kusema hao wanunuzi walikuwa wakikungoja ww utoke mjini ukawakusanyie karanga huko kijijini??? [emoji38][emoji38][emoji38] Je ulipokuwa unatoka mjini hukujua unaenda kufanyaje huko bushland tena ukiambatana na mkeo, maana umesema ni mwenyeji WA huko [emoji35][emoji35] Ndani ya...
  8. nessonlegend

    Huu wimbo wa Rihanna "Te Amo" una ujumbe gani?

    The amo ni mama
  9. nessonlegend

    Uzoefu wa kusafiri na Rocket kati ya Misri na Afrika ya Kusini

    Kuna Uzi humu umeelezea vizur Sana haya mambo. Pole mleta uzi
  10. nessonlegend

    Namna ya kuwa tajiri mwaka huu, hii biashara inalipa ni kiboko huhitaji kafara!

    Dah mkuu, nimeishi Kilimanjaro kila mda nilikuwa napishana nao njiani. Wapo wengi sana
Back
Top Bottom