Search results

  1. Lwakalisa

    Kwa malezi haya ya watoto wa kizazi hiki, ni bomu linalokuja

    Nimeguswa na aina ya maadili waliyonayo watoto wa kizazi cha leo, ni kama wazazi wameacha majukumu yao katika malezi. Wakati wa malezi yetu tulifundishwa hasa watoto wa kiume shughuli zote za nyumbani, ili kuwa tayari kukabiliana na changamoto za maisha. Pia kwa watoto wakiume walipewa mafunzo...
  2. Lwakalisa

    Kwa wataalamu wa kilimo cha pilipili

    Wadau naomba kujuzwa. Nimelima pilipili ila baada ya mzao wa pili kwenye majani imejitokeza kama ukungu kwa chini na mimea ni kama imeanza kudhoofu. Tafadhali nini sulihisho sbb nimejaribu kuzunguka na jani kwa maduka ya pembejeo majibu ni kama yanachanganya. Ahsanteni.
  3. Lwakalisa

    Msaada tafadhali: Nimepakua video na kuziweka kwenye flash zinaandika not supported

    Habari wana jf, Nimedownload music videos katika laptop yangu shida inakuja pale ninapoweka katika flash ili niangalie kupitia dvd napata message not supported. Nashindwa kuelewa tatizo nini hasa ahsante.
  4. Lwakalisa

    Msaada natafuta docking station

    Wandugu natafuta twinmos hd docker model DS2535-HD31P ni muhimu sana
  5. Lwakalisa

    Anayejua kuhifadhi maji ya mvua

    Jambo wadau, Naomba kwa mwenye kujua, nimekuwa nikikinga maji ya mvua ila yakikaa baada ya muda huwa yanakawaida ya kuteleza. Nifanye nini ili yakae muda mrefu ukichukulia hali ya upatikanaji wa maji ni íssue.
  6. Lwakalisa

    Kwa wajuzi sheria na kanuni za barabarani

    Habari wanajf, Jana wkt tukija Moshi toka Dar, tulisimamishwa na polisi Mkata kubwa likiwa mwendokasi,tulioneshwa kuwa tulikuwa 65km/h lakini tukawaambia hiyo speed ilikuwa kabla ya kibao cha 50p/h ambacho kipo mita kama 200 toka waliposimama. Wakaomba leseni then haraka wakatuandikia tulipe...
  7. Lwakalisa

    hodi hodi

    nataraji kujifunza mengi ndani ya jf nipokeeni
Back
Top Bottom