Search results

  1. kimatire

    Baada ya EU, Serikali ya Marekani nayo yaugeukia utawala wa Rais Magufuli

    Yajayo yanafurahisha mwenye macho haambiwi tazama! Ameshika mpini,shika makali tukulane kama utabaki salama. Big up USA and EU !
  2. kimatire

    Mhadhiri Vicensia Shule: Rushwa ya Ngono inatawala Chuo Kikuu DSM

    Huyu mama atangazwe ni shujaa bila kumumunya maneno.Vigezo
  3. kimatire

    Naelekea Afrika Kusini; Naombeni uzoefu wenu njiani

    Wazulu bwana hawaaminiki kabisa wana kauli tata sana na hawaapendi wageni Ole wako uka mind msichana wa kwao halafu awe na mshikaji mzulu itakula kwako fasta.Si wakweli japo malofa sana ukipanga mpango wowote nao ujue lazima watakurostisha,Wajinga sana hawa jamaa ,
  4. kimatire

    Naelekea Afrika Kusini; Naombeni uzoefu wenu njiani

    Lesotho sikwenda nalijua ni aibu tupu hata hivyo nilikuwa Kimberly kwa shughuli zangu kuna marafiki zangu walienda lakini walikuwa dissapointed sana.Sisi soka bado sanaa.
  5. kimatire

    Naelekea Afrika Kusini; Naombeni uzoefu wenu njiani

    Naomba nikutahadharishe sasa hivi Harare kuna msako wa wahamiaji haramu.Pia Harare ina vibaka na matapeli kuliko ilivyokuwa mwanzo.Hasa kwenye boarder za Zim na SA unapekuliwa hadi nguo za ndani, Ukiingia South huko ndo balaa la mbwamwitu,Wao siyo vibaka ni...
  6. kimatire

    Sekondari ya wavulana Tabora irudishwe katika mfumo wake

    Mada ya msingi sana katika kipindi hiki ambacho taifa lina nia ya kujenga kwa dhati uzalendo.JKT uliasisiwa na majemedari wa awamu ya kwanza mara baada ya Uhuru.Haikuwa na maana yoyote kulifuta au kuliendesha kunusuru nusu kama ilivyo sasa Mwaka mmoja ndani ya JKT ilitosha kuhitimisha kumjenga...
  7. kimatire

    Fanya "kadirio la kishushushu" kuhusu "who's next" Chadema to CCM

    Hili siyo jambo la kusumbua wala kufikirisha jamii,Hapa ni swala la muda tu(TIME WILL TELL).CHADEMA kama vilivyo vyama vingine vyote vimetokana na CCM,Na CCM ina vizazi na vizazi,Lakini kadri muda unavyoenda inazidi kuchakaa na wala siyo kukomaa.Kuna wakati...
  8. kimatire

    South Africa: President Jacob Zuma agrees to resign his office with immediate effect

    Aliondolewa ROBERT Mugabe,Sasa Zuma atafuata Mfalme Mswati ,Kabila,Kagame ,Mseveni then who next...........
  9. kimatire

    Songea na Bus Stand za katikati ya mji

    Ni hapo jana tu Madiwani wa Manispaa ya Mji wa Songea wakilumbana kurudisha stand ya mabasi katikati ya mji wa Songea kutoka pembezoni eneo la Msamala,Nje kidogo ya mji barabara ya kuelekea Njombe,ilikohamishiwa kwa muda. Ni habari za kusikitisha kuona kwamba...
  10. kimatire

    Maalim Seif Mtu wa wakati wote, alama ya mabadiliko

    Ni dhahiri hakuna kama yeye kwa siasa za Tanzania.Ni Maalim Seif pekee yake ana uvumilivu wa siasa dhalimu za ukadamizaji na ubakaji wa demokrasia ,mwenye msimamo thabiti ,asiyeyumba wala kuyumbishwa.Kumbuka Salim Amoor alikuja akapita na ubabe wake,Kaja mzee wetu...
  11. kimatire

    Halmashauri haina budi kuzuia magari kuingia katikati ya Jiji

    Katika hali isiyo ya kawaida Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam haina budi kuzuia magari kuingia katika eneo lote la maduka Kariakoo na Katikati ya Jiji –( City Centre) siku za mwisho wa wiki yaani Ijumaa,Jumamosi na Jumapili.Kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa 12...
  12. kimatire

    Makala: Shujaa alieshindwa kuhimili changamoto za ndoa

    Ushiboy; Umenena mengi sana lakini yale yaliyo hadharani tu, Yale ya ndani ukiacha hayo ya kukung'utwa bado mengi yasiyosemeka huna unayoyajua.Kwani ndoa ni ya wawili tu.Yapo Winnie atasema kuhusu Mandela lakini Mandela naye angekuwa nayo yanayomhusu Winnie,Hapo ndo...
  13. kimatire

    Tanzania "Tumevurugwa, tukavurugika"

    :bowl:Mara nyingi tumekuwa tukishabikia kila kinachojitokeza kwa nguvu nyingi pasipo kutafakari kwa kina.Maisha yetu yamejawa na mvurugano wa kimawazo/kifikra zaidi achalia mbali ule wa kimasilahi. Ni kweli kwa uduni wetu wa maisha umetufikisha mahali hata...
  14. kimatire

    Big up ! Simu 2000 bus stand

    PICHA MANISPAA YA KINONDONI YAZINDUA HUDUMA YA BURE YA INTERNETI KWENYE KITUO KIPYA CHA DALADALA CHA SIMU2000 | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today
  15. kimatire

    Big up ! Simu 2000 bus stand

    Jina simu 2000 lilitokana na eneo hilo lilikuwa mali ya Posta na Simu Baada ya kugawanywa Simu kuwa TTCL na Posta kubakia peke yake , Ndipo iliundwa Kampuni ya kusimamia na kuuza mali zilizokuwa za Shirika la Posta na Simu likaitwa Simu 2000.Hivyo kiwanja hicho...
  16. kimatire

    Big up ! Simu 2000 bus stand

    Mambo mazuri hatuna budi kuyaona na kuyasifia, Kituo kidogo cha daladala simu 2000 kimenithibitishia kwamba tunaweza tukiamua. Ni kituo kisafi chenye mpangilio na salama.Nawapongeza wasimamizi ambao nina uhakika ni Manispaa ya Kinondoni.Ila najiuliza huko kwingine...
  17. kimatire

    Taarifa ya Startimes na TCRA kuhusu ukweli wa tatizo la ITV na EATV katika Startimes

    WiMAX (Worldwide Interoperability for Microwave Access) is a wireless communications standard designed to provide 30 to 40 megabit-per-second data rates,[1] with the 2011 update providing up to 1 Gbit/s[1] for fixed stations. The name "WiMAX" was created by the WiMAX Forum, which was formed in...
  18. kimatire

    Tabia tupa kule, nahitaji kufurahi na kuwa huru mbele ya wenzangu

    Hilo nalo somo ,Ni mtizamo tu si unajua kizuri chako si cha mwenzio?Kila mtu ana mtizamo tofauti kaka, Siyo kila unachokula na mwenzio anakitamani ! Tabia ni ubao tu wa matangazo lakini kila mtu ana ladha yake.Kumbe hata wale wenye tabia zao mbaya wana watu...
  19. kimatire

    Tested HIV positive, looking for a soul mate

    :A S crown-2:
  20. kimatire

    Lema: Chagonja haamini kama Rais kaishateua IGP

    Siyo kila alizungumzalo mwenda wazimu ni la kiendawazimu. Jaribu kusoma maandishi wanayoandika barabarani na kwenyekuta mijini, mara nyingi kuna reflection ya kitu fulani ndani yake. Kwa hiyo kuiita kauli ya Godbless Lema ni ya kiendawazimu sishangai sana ,Lakini...
Back
Top Bottom