Search results

  1. micky mouse

    Mbeya hawajui kabisa nyama choma

    Kumbe kuna fursa wakaskazini tusogee sio
  2. micky mouse

    Tupeane uzoefu,stress za maandalizi ya ndoa.

    Ndoa inategemea ww muhusika unaitaka ya kawaida au ya misifa hapo ndio kuna mi stress kibao kama yangu ilikua ya simple sana kama yangu ilikost 300,000/=tu wageni kama kumi hiyo haihusiani na pete Sent using Jamii Forums mobile app
  3. micky mouse

    Je, matumizi ya mafuta kwenye Toyota Crown Athlete yapoje?

    Ipo vizuri hata ulaji wake wa Marita poa ila ukinyoosha mguu kuanzia 80km/ph inaanza kujiachia pia ipo comfortable sana spear zipo tele Sent using Jamii Forums mobile app
  4. micky mouse

    Line za wakala zinapatikana

    uko wpi nommy mi nipo moshi
  5. micky mouse

    Xiaomi Redmi 1s & 2

    wakuu Nairobi zipo nyingi angalia olx Nairobi.pia hebu jaribuni Ku Google simu inaitwa g5 nzr sana ni likuta zipo Lilongwe Kwa kwacha 40000 hapo zidisha Mara 37 una pata tsh yetu.
  6. micky mouse

    Ni nani/kina nani wamiliki wa PANONE Company Ltd?

    ni Mchaga jamani Patrick ......
  7. micky mouse

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Jamani msiende private wore tunahitaka kujua hii kitu pia mbegu ni wapi zinapatikana nipo moshi
  8. micky mouse

    Spika Makinda ama amechoka au ana hasira?

    Hati ya dharula ili ipite iwanufaishe ccm hata baada ya chaguzi,wawe tayari wamevimbiwa .......
  9. micky mouse

    Vietel Tanzania, mtandao mpya wa Simu

    Hizo smart fone zao tu za nafuu hatari..waje tu
  10. micky mouse

    Kuimarika kwa shilingi imenikera sana!

    Usipo lipo deni unazaa nao tu hawana shida!!!!
  11. micky mouse

    Nguzo mpya za simu zinazosambazwa mitaani

    Hata huku moshi zipo wanachimbia chini,tu penye mito ndio wana pitisha juu ktk vijinguzo vidooogo!!!!kama ni 4g poa maana huku moshi kuna maaeneo tunaenda kutega ndio tupate H+ ile ya airtel....kazi kweli
  12. micky mouse

    Kilimo cha Bamia: Fahamu kuhusu mbegu bora, mazingira sahihi ya kulima, magonjwa na namna ya kuyakabili

    Nataka kulima eneo la chekeleni njia ya kwenda Moshi kuna mashamba ya umwagiliaji.
  13. micky mouse

    Wafahamu wachawi na uchawi hapa

    Duu!!hatari na vipi vile vishindo juu ya mabati usiku wa manane vinakua ninini?eti
  14. micky mouse

    Nahitaji CD, DVD,na Empty DVD

    Hapana mkuu nataka za kununua ili niuze mkuu..
  15. micky mouse

    Nahitaji CD, DVD,na Empty DVD

    Habari wana JF, Nataka kuuza CD, DVD za tamthiia za Kikorea na Bongo Movie pamoja na Empty DVD. Hivi vitu vyote nahitaji ktk office yangu vya kuuza kwa watu wa bushi kwangu . Asanteni
  16. micky mouse

    Kilimo cha Bamia: Fahamu kuhusu mbegu bora, mazingira sahihi ya kulima, magonjwa na namna ya kuyakabili

    Habari wana JF, Ningependa kufahamishwa kuhusu kilimo cha bamia ,mbegu bora ,dawa, muda kupanda hadi kuivuna. Asanteni
  17. micky mouse

    Computer yangu yazingua

    bado inawaka tu haioneshi kitu zaidi ya monitor inawaka na kama inaload window alafu inazima na kuanza tena,model CPU NI TSUNAMI NA MONITOR SAMSUNG.....
  18. micky mouse

    Computer yangu yazingua

    Salamu wana jf,computer yangu ilizimika ghafla nikiwa naangalia filamu kabla sijainuka umeme ukarudi tena na kuzima,sasa inawaka tu bila kuonesha window shida ninini hapo.
  19. micky mouse

    Msaada kuhusu matrekta ya Massey Ferguson

    Mkuu nimefanya kaz hizo tractor simchezo moja ilikua 390e na290e kaka acha mchezo ziko vzr sana 290ilinunuliwa ubungo pale carjunction kwa 25ml 390 ilinunuliwa shamba la chai pale iringa.. Spare zipo sema uko wapi kuna fundi anazunguka kote
Back
Top Bottom