Search results

  1. kamau

    Civil War Diaspora USA

    Jamani msijifanye kukoment mambo ya DMV wakati hamyajui, shut a f..kc up. Subirini matokeo huyo Libe au Sandally hammjui cc ndio tunawajua.Acha movie iendelee kalaleni.
  2. kamau

    RIP Emmanuel Mwaikasu- MBEYA DAY 1987-IFUNDA TECH 1988-90

    R.I.P Mwaikasu,nimesikitika kusikia amefariki dunia,tulisoma naye TCA
  3. kamau

    Obama's Teleprompter

    desa muhimu mazee
  4. kamau

    Kubemendwa: Hiki kitu kweli kipo?

    nadhani kubemenda ni mtoto kukosa matunzo na afya kudorora,haijalishi utoke au uingie katka ndoa
  5. kamau

    kudesa

    Jamaa wawili waifanya interview ya kazi ,bahati nzuri au mbaya wakapata 90% wote wawili na kufungana. Boss akampa kazi yule mtahiniwa wa kwanza.Yule wa pili akaenda kulalamika kwa nini hakupewa kazi na wamepata marks sawa.Boss akamwambia swali la mwisho ameandika I don't know the answer...
  6. kamau

    Matumla apigwa

    hayo ndo matatizo ya kumtumia baba yake kama coach mbadala ya kutafuta poffesionals
  7. kamau

    Dr. Shayo wa UK si bingwa wa uchumi

    hao jamaa ni wakali wakuchambua mada(mashaka na shayo) ukisoma makala zao utawaaminia sana. Hata kama wamesomea uvuvi wa samaki lakini kitaaluma wamekubuhu.
  8. kamau

    Sahau Kambi afariki dunia

    Sahau kambi sitam sahau Kipa aliyekuwa na kipaji Mungu mlaze pema peponi Amen
  9. kamau

    List of Rostam and Akram Aziz companies & Mohamed Enterprises

    haa we vipi kwani whats the limit? how many business is he suppose to have? ... as far as I know you can have as many as u can In Tz,waswahili bwana ,huo ni wivu na chuki binafsi.
  10. kamau

    Educated TZ Immigrants in US in tough Situation

    Wewe hapo juu unaongea unachokijua au unakijua unachokiongea???? Je unaishia wapi na hizo data zako unazipata wapi,nadhani labda wewe ndio looser,kama upo USA anza kwanza wewe kurudi bongo kama maisha yamekushinda.
  11. kamau

    Moshi Tech Sec School - What has gone WRONG??

    Hata mimi niliyaona hayo matokeo nikafikiri ni MTS nyingine sio ile ya zamani,tulipokuwa pale miaka ya 80 hadi tisini ilikuwa target ya students wengi ni div 1 na wengi waliipata,na ungeweza kumwona mtu anavyosoma ukamwaambia atapata div 1 na kweli akapata. Nadhani kwa sasa labda starehe na...
Back
Top Bottom