Search results

  1. wakusepa

    Tatizo la ngozi kujikunja

    Habari wana jamii. Nina tatizo limeanza kujitokeza miaka mitatu iliyopita na sasa naona linakuwa sugu. Ni kwamba paji langu la uso(kipumi) ngozi yake inasinyaa na kujikunja mfano wa mtu anayezeeka(age yangu ni 28). Kiukweli sijawahi kumuona mtaalamu yeyote juu ya tatizo langu,lakini ninahitaji...
  2. wakusepa

    Naombeni mfano kama hili jambo lipo

    Habarini wana jamvi Naombeni wana jf mnipatie mfano wa mtu ambaye aliwahi kuwa chuo kisha kuwa sponsored na heslb kwa bahat mbaya aka disco na baadae akaamua kuomba chuo tena na kupata pamoja na mkopo pasipo kudaiwa ule wa kwanza.Kama ww uliwahi kuwa mhanga au una ndugu yalimsibu haya tafadhali...
  3. wakusepa

    Mliokosea kujaza fomu za mikopo helsb 2015

    Habarini vijana wenzangu,poleni na mchakato mzima wa ujazaji hizi fomu za helsb kwakuwa zimekuwa na changamoto tofauti. Sasa kwa wale ambao katika fomu wamejaza details zao na kisha ku thibitisha(confirm) taarifa ambazo kwa namna moja ama nyingine zimekosewa naomba kusema kuwa huwezi kufanya...
  4. wakusepa

    haya majanga yaliyonikuta mimi mkulima nipo njiapanda

    heri ya mwaka mpya wandugu zanguni namshukuru jehovah kwa kuw nimefka salama, ndugu zangu lililonikuta ni jambo kubwa ambalo nahitaj mnipe maana yake,mimi ni mkulima ambaye najituma ili kupata kidogo kwa ajili ya familia yangu. sasa juzi wakati nipo shambani nilipigw butwaa kuona mahindi mbegu...
  5. wakusepa

    Tukutane hapa tunaoenda katoke Teacher's Colage

    Habari wadau, nipo hapa kuwapata wenzangu tunaoelekea katoke teachers college, namba yangu 0756329300
  6. wakusepa

    Tution,tution kiomboi bomani kwa risitors na fresh candidates

    wana jf kiomboi habar zenu. Kwa wale wanaohitaji kurudia mitihani kwa O-level na wale school candidates waliopo kiomboi tafadhal tuwasiliane 0682919945.
  7. wakusepa

    Je inawezekana???

    2007,nimehtm kdato cha nne,2010 nimehtim cha sita,the same year nikapata chuo na mkopo kwa asilimia 30,maisha yalikuw magum pale chuo,nikasoma miez mitano,semister ya kwanza,ya pili nikaacha chuo without informing any1 even the university administration.hii 2014 nahitaji kurud chuo,wasiwasi...
  8. wakusepa

    Nataka kuoa lakini nalala chini...

    wana jf habari mimi kijana mwenye 27 miaka,na umri wangu unakimbia. Wadau nipo chumba kimoja nalala chini na godoro langu sabab maisha bdo hayajakaa poa. Lakini nina mrembo wangu ametoka familia yenye uwezo fulan wa maisha ni wa muda sana ktk mapenz yetu,huyu mpenz ananilazimisha sana...
  9. wakusepa

    Je ninaweza kurudi chuo baada ya kuacha bila taarifa yoyote

    Hello wana jf. Kwa wazoefu na waliopo vyuoni je hili linawezekana. Imepita miaka mitatu tangu niache chuo bila kutoa taarifa yoyote.na ku deal na biashara,sasa nataka kurudi chuoni nilikukowa nasoma kutokana na busines zangu kutokaa vyema.. Wakati nasoma nilipata bum asilimia 20 kwa wakati...
  10. wakusepa

    Huyu anastahili kozi gani ngaz ya cheti msaidie mdogo wangu

    jaman mdogo wng anakesha akilia kutokana na matokeo mabaya aliyopata. Civ F, GEO D ENG D BIO D MATH F HIST D KISW F PHYS F BIO D TUNAHTAJ AKASOME CHETI JE NI COURSE GANI ATAPATA KWA ALAMA HZO. MSAADA WENU WANA JF
  11. wakusepa

    msaada wa simu yangu ya tnm imeniandikia enter passowd,

    wataalamu naomba msaada nimesahau passowd ya tnm nahitaj ku-unlock,hivyo nakosa mawasiliano na hii ndiyo simu nayotumia na ndiyo tegemez..kama kuna njia mbadala mnisaidie
  12. wakusepa

    Elimu ya IT ngazi ya Diploma

    Habari wana Jf, Naomba msaada wa michango wa mawazo na ushauri kwa wale wenye uzoefu na IT. Ni wapi wana mafunzo mazuri? Ada yake ni kiasi gani kwa ngazi ya Diploma, na chuo ambacho ni kizuri kwa kozi hiyo. Naomba pia kujua vigezo vya kujiunga kwa mwanafunzi wa form four (4) leaver ama form...
  13. wakusepa

    Jamani nadharaulika kisa nasomea ualimu

    Ingawa naambiw niish kwa kutoangalia watu lakn jaman kwng imezidi,jaman napata fedhea na dharau za hal y juu kutoka familia yng mpak jamii kwa ujumla.eti familia yng naambiw ctakuw na msaada wowote zaid y kuendelea kuw tegemez kwakuw ualim si kitu ktk nch hii,jaman zaid inanium...
  14. wakusepa

    Je katika hili ninaweza kufadhiliwa

    Jaman nahtaj kwenda kusoma diploma ya sheria kule Tanga lakini sina uwezo wa ku-pay school fs na hata ndugu zng hawako na uwezo huo.mbali zaidi mimi ni yatima. Je naweza kupata mtu wa kunifadhili kunisomesha? Je ntampata wap? Na nianze vipi kumpata na je wanahtaj vigezo gan kuw sponsord...
  15. wakusepa

    Sipendi mikunjo ya tumbo langu nisaidieni

    jamani nina kitambi na tumbo kujikunja kunja wakati ninapokaa,mfano kwenye kiti au popote pale,hii hali inanichukiza sana kwan sipend hichi kitambi kwani kinanipotezea body langu. Hvyo naomben ushaur nifanyeje jaman coz i hate myself
  16. wakusepa

    Msaada wenu jamani

    nimehitimu form 4. Nina alama hizi kiswahili B,geography B,english C,history C,civics B,physics D,chemistry D,biology C,mathematics D. Jaman nahtaj kwenda moja kwa moja nikasome diploma aidha chuo cha afya au chochote kile ila isiwe diploma ya ualimu.na hicho kiwe cha gharama nafuu...
  17. wakusepa

    Advice

    jamani nimehtimu kidato cha 4 mwaka 2007 na nika awarded na div two.baada ya hapo nilienda advance kusoma.HGL nikawa awarded div 3 point 15, sikuomba chuo kwa kuogopa kusoma ualimu,kwasbb nilijua ntapata ualim.lengo langu sikupenda kuw mwalim bal kuw mwanasheria au daktar msaidiz. Hvyo nahtaj...
Back
Top Bottom