wakusepa
Member
- Jan 24, 2013
- 83
- 5
Habari wana Jf,
Naomba msaada wa michango wa mawazo na ushauri kwa wale wenye uzoefu na IT. Ni wapi wana mafunzo mazuri? Ada yake ni kiasi gani kwa ngazi ya Diploma, na chuo ambacho ni kizuri kwa kozi hiyo. Naomba pia kujua vigezo vya kujiunga kwa mwanafunzi wa form four (4) leaver ama form six (6) leaver.
Asanteni.