haya majanga yaliyonikuta mimi mkulima nipo njiapanda

wakusepa

Member
Jan 24, 2013
83
5
heri ya mwaka mpya wandugu zanguni namshukuru jehovah kwa kuw nimefka salama,
ndugu zangu lililonikuta ni jambo kubwa ambalo nahitaj mnipe maana yake,mimi ni mkulima ambaye najituma ili kupata kidogo kwa ajili ya familia yangu.
sasa juzi wakati nipo shambani nilipigw butwaa kuona mahindi mbegu ya pana kiasi cha nusu kikombe yakiwa yamefukiwa ndani ya mbolea ya samad katikati ya shamba langu.je ndug zangu hili janga maana yake nini
 
Alikusaidia mbegu na kukuambia kuwa tumia samadi usitumie mbolea za kisasa. Au weye waonaje? Maajabu hayatakwisha. Ni wapi huko nijepanda miye hilo shamba nisiyeogopa kulogwa? Halafu utakuta ati kashamba kenyewe robo eka. Kweli kilimo chako ni cha kujikimu
 
toa taarifa polisi,uchunguzi utafanyika,aliyefanya hivyo atakamatwa na kufikishwa mahakamani!!!
 
heri ya mwaka mpya wandugu zanguni namshukuru jehovah kwa kuw nimefka salama,
ndugu zangu lililonikuta ni jambo kubwa ambalo nahitaj mnipe maana yake,mimi ni mkulima ambaye najituma ili kupata kidogo kwa ajili ya familia yangu.
sasa juzi wakati nipo shambani nilipigw butwaa kuona mahindi mbegu ya pana kiasi cha nusu kikombe yakiwa yamefukiwa ndani ya mbolea ya samad katikati ya shamba langu.je ndug zangu hili janga maana yake nini

kwa imani hiyo sasa umeshakuwa mkulima rasmi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom