Search results

  1. blauzi

    RC Dar apiga marufuku watendaji walio chini yake kusafiri nje ya jiji bila kibali chake

    RC yuko sawa,kasema wale walioko chini yake.kama hujawahi kuwa chini yake hupaswi kuogopa tamko hilo.
  2. blauzi

    Re:sakata la mitaala rasmi

    Naanza kufanya utafiti juu ya suala la mitaala rasmi Kutokana na sakata lililoibuliwa na Mh. James Mbatia (Mb) kuhusiana na suala la mitaala (Kama Tanzania kuna mitaala rasmi au la) nimeamua kuanza kufanya utafiti juu ya suala hilo na nitakuja na ripoti (Simaanishi hakuna tafiti...
  3. blauzi

    Natafuta rafiki wa kike ambaye inshallah atakuwa ma otha half...

    Ni ombi zuri ila uwe makini kwa kuwa wchumba wa online nao wanamajaribu yao na inahitaji moyo na tena MAOMBI ya hali ya juu sana. Any way kila la kheri kijana
  4. blauzi

    Ushauri katika hili-yamenikuta!

    Mimi ni mvulana niko masomoni kwa sasa.(Nasoma Degree ya pili) Nina mpenzi wangu tuliyedumu nae kwa miaka 3 sasa. Nimeshamtambulisha nyumbani kwetu, na pia nafahamika kwao japo sijaenda kujitambulisha rasmi. Nikiwa kwenye harakati za kwenda kutoa posa kwao, yeye alipata ajira na hivyo kwenda...
  5. blauzi

    New ACSEE Syllabus

    Hongera kwa kuwa na uelewa wa kutambua mahitaji yako ya kielimu. Nakushauri utafute syllabus za masomo yako yote mf.HGL, then ukiwa nazo ni rahisi kufuatilia mambo yanayofundishwa.Kama uko dar nitext kwa msaada zaid wa maelekezo jinsi ya kuzipata na jinsi ya kuzitumia(competence based syllabus &...
  6. blauzi

    Post graduate diploma in procurement and supply management.

    Nashukuru kwa wote mlionipa ushauri wenu Walionitaka kuwa specific-Coz ni Inventory Management,strategic management,international procurement, public procurement na Ware Housing. Nashukuru dylansmith088 kwa link ulizonitumia
  7. blauzi

    Nina ADA, CPA(T) na Masters in Accounting and Finance lakini sina kazi zaidi ya mwaka sasa!

    Hongera sana kaka kwa kuwa na ADA, CPA(T) na Masters in Accounting and Finance. Tatizo naloliona hapa ni KUKOSA UZOEFU WA KATI. Je uko sawa na mtu aliyefanya kazi akiwa na OD?akajiendeleza huku akiwa anafanya kazi akapata ADA, then CPA na Masters akiwa kazini?La hasha!. Nakushauri uanze na kazi...
  8. blauzi

    Wadada wa JF Mnanipagawisha

    Hapo umechemka mzee.Je kwa ID yangu hapo niambie mi ni "me" au "ke". Na wewe unapagawishwa tu na kuchangia kwao, je ukikutana nao live mezani si ndio utalilia kabisa?Acha hizo, uliowataja wote huna ushahidi kama ni wadada na pia wewe hujaona wakaka wanatoa mda za ukweli?Na kichwa cha hbr...
  9. blauzi

    Udsm yageuka danguro wakuu

    We uliyepost hiyo thread uache USHAMBA.Watu wawili hawawezi kubeba taswira ya chuo kizima.Usiwaaminishe watu walione ni suala kubwa kwa ushamba wako.Hayo ni mambo ya kawaida kwa taasisi kubwa kama hiyo. Na pia, masuala ya mahusiano ni ya mtu binafsi na yasihusishwe kabisa na jumuiya nzima ya...
  10. blauzi

    Wanafunzi zaidi ya 50 UDSM wafukuzwa moja kwa moja!

    Kugoma sio shida na ni rahisi. Lakini mwisho wa siku lazima tujiulize(kama kundi na kwa mtu binasfi),baada ya kugoma umepata nini na umepoteza nini. Tukipata majibu, tutajua uamuzi sahihi wa jinsi ya kushughulikia matatizo yetu.LAKINI pia tukiamua kugoma tugome kweli.Siku hizi UDSM hakuna...
  11. blauzi

    Askari wa Polisi na JKT watwangana Tabora

    Hizi ni habari za kusikitisha sana kawa nchi ya Amani kama Tz, hebu mwenye habari kamili kuhusu tukio lote atujuze ili tupate taarifa kamili jamni.
  12. blauzi

    Ushauri; Kazi inaelekea kunishinda

    Kwani we hukusaini nao mkataba?walikuelewesaha kazi zako ni zipi na makubaliano mengine.mlikubaliana mshahara utakaolipwa?Je uliwauliza ukifanya kazi nje ya mkataba itakuwa vp?Kuna mdau katoa maoni mazuri sana, soma sheria,fuata mkataba wako wa kazi, ukishindwa usikurupuke, usije ona cha moto...
  13. blauzi

    Maumivu makali ya mgongo (back pain) na tiba yake

    Ushauri wa mzizi mkavu unafaa sana.Tunashukuru kwa maelezo hayo.
  14. blauzi

    Usafi katika nyeti!

    Somo limeenda shule hilo,nikelipenda.Asante kwa kutuelewesha
  15. blauzi

    Post graduate diploma in procurement and supply management.

    Naomba msaada wa material za kozi iliyotajwa hapo juu kwa yeyote aliye nayo.Kwa wenye mapenzi mema nipostie attachment kwenye ezranaths @hotmail.com
  16. blauzi

    Muda wa wabunge uwe vipindi viwili tu

    Hii itakuwa nzuri ili kutoa nafasi kwa vijna waweze kukewa nafasi nao waoneshe maarifa na umahili wao kwenye uongozi
  17. blauzi

    Hotuba ya Rais Kikwete kwa watanzania mwezi Septemba 2011

    TBC-Televisheni ya Taifa inapotoa tangazo, halifanyiki na hawatoi ufafanuzi tuwaeleweje?Sisi kama watanzania tunaihitaji sana hiyo hotuba, tena hotuba inayotoa ufafanuzi wa matatizo ya wananchi na sio kuwatuhumu watu au vyama juu ya vitu fulani.
  18. blauzi

    Hotuba ya mwisho wa mwezi.

    Hotuba nayo iko likizo, rikizo, ikiisha utaskia ananza bwebwe zake
Back
Top Bottom