Search results

  1. dafity

    Niliyoyashuhudia Jeshini

    Nasubiri muendelezo
  2. dafity

    Vitu vyenye majina mengi hapa duniani

    Duuh aisee naamini umeshiba hapo ulipo maana mwenye njaa hawezi kuwaza hivi...
  3. dafity

    Ndoa kiroho ni tendo la ndoa. Wote ulioshiriki nao ndio wake au waume zako

    Sio kweli unaongea very unpracticable issues. Usiwazuge watu
  4. dafity

    Kwanini Uwanja wa Mpira Dodoma ulikuwa uwe wa kuchukua Watu 100,000, lakini Samia anaujenga wa Watu 30,000 tu?

    Wa watu Laki 1 sijui elfu 80 ni ufafhili wa Morocco,fuatilia kujua kama wamejitoa. Ila huo wa elfo 30 ni pesa za ndani utajengwa Dodoma, Arusha-Lemguru, na Mbeya
  5. dafity

    Ushauri: Iundwe Kamati huru kubaini chanzo cha nyufa JNHP maana kuna harufu ya uhujumu uchumi

    Kipara atakuja kuwa Rais wa hii nchi. Take it from me. Mtakaobeza nawakaribisha
  6. dafity

    Ukweli ni kwamba Gerson Msigwa ameshushwa Cheo

    Kashushwa. Kutoka kuzisemea wizara zote leo unakuwa mtendaji wa wizara moja tu.
  7. dafity

    Sho Madjozi: Msanii kutoka South Africa anae zungumza kiswahili kwa ufasaha

    Ameishi Msasani bonde la mpunga huyo, so no wonder kuongea vema Kiswahili
  8. dafity

    Kuna baadhi ya shipping agent na bandari kavu wanawaumiza sana clearing agent

    Kwani mwisho wa yote hizo tozo si analipa mwenye mzigo ambaye ndio end-user wa bandari?
  9. dafity

    Naibu Waziri Mkuu majukumu yake Kikatiba ni yapi? Wafahamu waliowahi kuwa Manaibu Waziri Wakuu nchini

    Nawasalimu Waungwana wa JF, Mwanzo mwanzoni nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uhai na afya anazotujalia hata kuendelea kupashana habari za hapa na pale kupitia mtandao wetu huu pendwa wa JamiiForums. Hivi punde, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko kwenye Baraza la Mawaziri...
  10. dafity

    Anguko la Yanga

    Unapataje pesa kwa kuileta hapa JamiiForums?
  11. dafity

    Ni mambo gani mepesi kufanyika ambayo huwezi kuyafanya?

    Jambo usiloliweza kwako tayari ni gumu sio jepesi
  12. dafity

    EFM Radio hii ni chuki dhidi ya Yanga au ndio uchambuzi wenyewe?

    Hao ndio WACHAMBUZI WA MICHONGO a.k.a Madunduka. Jipara kama jiwe la kiama na miwani kama kobe. Shwaiin
  13. dafity

    Pongezi kwa Azam kwa kupiga hatua kubwa ya DTT, sasa ajirini wafanyakazi weledi

    DTT ni Digital Terestrial Transmission yaani matangazo yanayorushwa kutokea ardhini sio angani kwenye satellite. Huyo Danstun Dito Mhando hakuondoka TBC kipindi cha Magu bali JK. Kisa aliruhusu wapinzani waeleze sera zao kupitia TBC. Makamba akamtemesha mzigo., akaenda Mwananchi kisha Azam
  14. dafity

    Profesa Wajackoya: Raila Odinga alikuwa na CHADEMA akalega lega amerudi tena

    Shida ni mmoja akishapata madaraka anaona chama rafiki ni maadui na ataanza kushirikiana na vyama tawala vya nchi jirani
Back
Top Bottom